Tazama kinachoendelea bungeni kwa sasa

Tazama kinachoendelea bungeni kwa sasa

Hawa wabunge ni wapumbavu, tunachotaka sisi ni matokeo ya mijadala yao,je, inaleta impact gani kwa jamii? Shida yetu siyo kuwaona wao, kwa kuwa Mbunge anaweza kuchangia hata kwa maandishi bila kuonekana kwa vyombo vya habari, lakini kama mchango wake unalipa tutaona maendeleo kwa waanchi. Kinachotakiwa ni maendeleo, sidhani kama kuonekana kunwasaidia wananchi ila kunawasaidia wabunge wenyewe kwa kujitangaza binafsi marketing of themselves.
Jambo la pili ni kuwa Bunge lilipokuwa likionyeshwa wabunge walilitumia vibaya kwa kutoa lugha ya matusi bungeni
kutorushwa Bunge live ni UOGA wa serikali yako na upigaji pingu uhuru wa habari tunahitaji maendeleo lakini tutajuaje kama wawakilishi wetu wanatusemea tuliyowatuma kuhusu matusi na mengineyo huanza kwa kiti kuponzwa na uchama
 
Hawa wabunge ni wapumbavu, tunachotaka sisi ni matokeo ya mijadala yao,je, inaleta impact gani kwa jamii? Shida yetu siyo kuwaona wao, kwa kuwa Mbunge anaweza kuchangia hata kwa maandishi bila kuonekana kwa vyombo vya habari, lakini kama mchango wake unalipa tutaona maendeleo kwa waanchi. Kinachotakiwa ni maendeleo, sidhani kama kuonekana kunwasaidia wananchi ila kunawasaidia wabunge wenyewe kwa kujitangaza binafsi marketing of themselves.
Jambo la pili ni kuwa Bunge lilipokuwa likionyeshwa wabunge walilitumia vibaya kwa kutoa lugha ya matusi bungeni
Kuna majitu mpaka sasa yana akili kama za dinosaurs...moja wapo ni hili dubwasha hapa jukwaani. Yaani halioni umuhimu wa bunge kuwa live! Kweli buku saba za Lumumba zimesababisha na kuongeza mtindio wa ubongo kwa vijana wajinga wengi sana
 
Kwa kawaida vichaa huona wenzi wao wasio wagonjwa wa akili ndiyo vichaa. Mfano mzuri ni wewe. Narudia tena kukueleza. Shida yetu kubwa ni maendeleo. Maendeleo huletwa na hoja zenye mashiko. Bungeni kinachopimwa ni hoja siyo kuonekana wa mtu. Hoja ni muhimu kuliko hata mtoa hoja. Kinachojadiliwa ni hoja, hajadiliwi mtu.
Wabunge mufilisi hutaka waonekane wao hata kama hawana hoja, wana matusi. Hata tunapowasihi watumie lugha nzuri inayoakisi hali ya watanzania ilivyo na heshima hawataki kubadilika. Ukitaka mwanao anayetambaa asiokote kinyesi kajisaidie chooni au mahali asipoweza kufikia aendelee kutambaa kwa sababu ni jambo zuri lakini aepuke kuokota kinyesi.
Watu wote wenye hekima hawapendi kuonekana wao, lakini tunwaona kwa matendo yao, bali domo kaya kazi yake kubwata tu hata kama hana hoja.
Kuoneka si vibaya lakini si jambo la msingi. Mtu mzima anapoacha jambo la msingi na kug'ang'ania jambo lisilokuwa muhimu ndipo hapo tunamshangaa.
 
Back
Top Bottom