Able_Mwamba
Member
- May 11, 2017
- 77
- 78
Anataka ubadilishe title ya uzinajua unataka niweke floor plan mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
Anataka ubadilishe title ya uzinajua unataka niweke floor plan mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
Nenda google mkuu, ask Mr. Google has all answers.Tuanzie hapa kwanza halafu tuendelee.
Tatzo lingne hiloNenda google mkuu, ask Mr. Google has all answers.
Mkuu nibadirishe tittle ya uzi ili iweje tena mkuu. Mbona tittle haina shida.Anataka ubadilishe title ya uzi
Kama haina shida basi mitano tena kwako mkuu.Mkuu nibadirishe tittle ya uzi ili iweje tena mkuu. Mbona tittle haina shida.
Basi sawa, liache liwe tatizo, swali lako nila kitoto mkuu, na majibu unayajua. Hivyo unavyo elewa ndio hivyo hivyo inavyo maanishaTatzo lingne hilo
Mitano tena na tenaKama haina shida basi mitano tena kwako mkuu.
Mitano tenaBasi sawa, liache liwe tatizo, swali lako nila kitoto mkuu, na majibu unayajua. Hivyo unavyo elewa ndio hivyo hivyo inavyo maanisha
Mpaka mileleMitano tena na tena
Mitano tena na tenaMitano tena
weka tujenge nyumba yko! wazee wa mteremko.najua unataka niweke floor plan mkuu, 😂😂😂😂😂. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
Dogo anajifunza, usimpige maswali magumu[emoji1]
Bora umwambie tu huyu bwana kujifunza hakuwezi kuisha hapa duniani tujifunze vitu vipya kadri tuwezavyo hayo ndio matumizi mazuri ya akili.Dogo anajifunza, usimpige maswali magumu[emoji1]
Sio muda mrefu nakuja na kitu inaitwa Artificial Intelligence (AI) in Floor plan design mwache yeye aendelee kutafuta definition ya ramani.Dogo anajifunza, usimpige maswali magumu[emoji1]
Mkuu, nyumba ni floor plan. Hayo mapicha uliyo leta kila mtu anaweza yachora.Habari za leo wakubwa,
Ndugu yenu bado naendelea na kazi ile ile ya kudesign ramani mbalimbali.
Leo nimekuja na hii design yangu ya kipekee ya nyumba ya vyumba vinne. Unaweza kujionea mwenyewe.
View attachment 1688014
View attachment 1688015
View attachment 1688016
View attachment 1688017
View attachment 1688018
View attachment 1688019
View attachment 1688020
View attachment 1688021
View attachment 1688022
View attachment 1688023
View attachment 1688024
View attachment 1688025
View attachment 1688026
View attachment 1688027
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Jamaa hujui lakini una bidii sana