Mbona hiyo pic ya kwanza kama kuna mahi meusi kwa chini?
Asante kwa picha....ila sijaelewa tofauti ya picha inasababishwa na nini.
Je ni madariko ya tabia nchi au technologia
Navyojua mimi maji hayana rangi (colourless)
eeeh. juzi nilipost mada hapa kuwa anga ni ya bluu, watu wakanijia macho juu juu ooh K 4 LIFE muongo mara hujui geography, sasa jamaa kapost hii image kuwa kuna rangi ya bluu, bisheni tena hapa, halafu na wewe mleta mada mbona kama umecopy na kupest mada yangu ya juzi?
75% ni maji!
anga ni la blue!
Ni lazima itareflect!
EARTH MUST SEEN IN BLUE!
Navyojua mimi maji hayana rangi (colourless)
Mbona hiyo pic ya kwanza kama kuna mahi meusi kwa chini?
uongo tu.
hahahah Big up K 4 life.....mkuu ila mie nimeongelea picha za jana kutoka NASA wakisema dunia ni 'ultimate blue marble' naamini wewe uliongelea mawingu ya bluu....
Kuna tofauti kubwa mkuu....ni coincidence tu mkuu
uongo tu. ina maana bara la south america limefunikwa na maji?
Maji yana rangi????? Si bure we fisi yakupasa urudi tena shule!Utabidii ufunge safariii angalau uende cocobeach ukashangae bahariii...hlf utajua maji ya bahariii yana rangii gani...
Teknolojia za upigaji picha na usafishaji kufikia hizo images ni tofauti mkuu....hapa kuna swala la ukubwa wa kamera -megapixels, power ya telescope katika kifaa kilichochukua picha, other technologies na usafishaji katika maabara mbalimbali...
Ukitazama picha ya 1968, utaona kabisa teknolojia pale ni tofauti na sasa, ingawa usafishaji wa picha umekua improved kwa vifaa vya kisassa....
pia umbali...picha ya kwanza imepigwa ndani ya kilometa laki 4, ile ya tatu imepigwa karibu kilometa milioni 2 naa....kwahiyo hapo ni swala la power ya telescope au darubuni...
Kwa swala la mabadiliko, yawezakana ndio....kuna tofauti ya wingu zito jeupe linaloizunguka dunia kwenye picha ya 1968 ukilinganisha na hizi za karibuni....na of course nia ya hizi picha ni kujaribu ku address hiyo issue....kwa msisitizo wa mkutano ulioisha na kusainiwa makubaliano.. majuzi ..wa kulinda mazingira kwa kupunguza emission ya hewa ya carbon hewani...
Asante kwa picha....ila sijaelewa tofauti ya picha inasababishwa na nini.
Je ni madariko ya tabia nchi au technologia
Asilimia sabini Na tano dunia ni Maji Na asilimia Sabin ya Maji ni bahari Na bahari ni ya kijani
Ubluee unatoka wp tena
Maji yana rangi????? Si bure we fisi yakupasa urudi tena shule!
we masabuli.. hujui kuandika..
Ufafanuzi wako ni sahihi. Tofauti kubwa ya hizo picha (ya 1968 na ya sasa) pamoja na uwezo wa kamera zilizotumika, ni uhalisia wa uchafuzi wa hewa toka muda huo hadi sasa. Blue ni kuashiria uwepo na uongezeko wa maji katika sayari yetu Dunia, kutoka na mabadiliko ya Tabia Nchi. Pia upungufu wa wingu kwa sasa pia ni uthibitisho wa uchafuzi wa hewa kutokana na shughuli zetu binadamu kwenye Sayari yetu Dunia.
Kweli mm ni fisii kunatofautii .....Hivii ukienda baharinii yale majiii yana rangiii ganiii...ukiangalia majiii kiujumlaa...au hujawahiii ona bahariii
unaeza ukawa unabishana na m2 yupo nkuhungu huko vjijini na palivo pakame!!! nadhan utakua umenielewa