Tazama dunia ilivyo bluu, new released image

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
760


Picha imepigwa kutoka chombo kinacho uzunguka mwezi upande liliko jua


mwaka 1968 wana anga wa Apollo8 walipiga picha hii bada ya kutua mwezini



na hapa chini ni picha ya hivi karibuni iliyopigwa maili milioni moja kutoka duniani....



Hizi ni picha za NASA kwa walimwengu wote ...zimekuwa published na Daily mail uk...enjoy
 
uongo tu. ina maana bara la south america limefunikwa na maji?
 
Rangi iliyotawala ni bluu.....na maeneo yenye bluu iliyokolea ni bahari.....mabara yanaonekana na kutambulika...

hahahha (muongo, uongo) hahahah...wenzangu mnaona rangi zipi...tushee basi
 
Kumbe ndo maana blue inatrend sana
 
Blue dah! Umenikumbusha mbali sana. Enzi ya shule ya msingi, yaani unafua shati la shule kisha unasuuzia maji yaliyowekwa blue, halafu unapiga pasi (ya mkaa moto magumzi ya mahindi) kisha unalikunja kistadi badae zinatokea ngazi ngazi dah!
 
Mbona hiyo pic ya kwanza kama kuna mahi meusi kwa chini?
 
Asilimia sabini Na tano dunia ni Maji Na asilimia Sabin ya Maji ni bahari Na bahari ni ya kijani

Ubluee unatoka wp tena
 
Blue dah! Umenikumbusha mbali sana. Enzi ya shule ya msingi, yaani unafua shati la shule kisha unasuuzia maji yaliyowekwa blue, halafu unapiga pasi (ya mkaa moto magumzi ya mahindi) kisha unalikunja kistadi badae zinatokea ngazi ngazi dah!

Sikuhizi ulishaacha ubishoo?
 
Asante kwa picha....ila sijaelewa tofauti ya picha inasababishwa na nini.

Je ni madariko ya tabia nchi au technologia
 
Asante kwa picha....ila sijaelewa tofauti ya picha inasababishwa na nini.

Je ni mabadiliko ya tabia nchi au technologia

Teknolojia za upigaji picha na usafishaji kufikia hizo images ni tofauti mkuu....hapa kuna swala la ukubwa wa kamera -megapixels, power ya telescope katika kifaa kilichochukua picha, other technologies na usafishaji katika maabara mbalimbali...

Ukitazama picha ya 1968, utaona kabisa teknolojia pale ni tofauti na sasa, ingawa usafishaji wa picha umekua improved kwa vifaa vya kisassa....

pia umbali...picha ya kwanza imepigwa ndani ya kilometa laki 4, ile ya tatu imepigwa karibu kilometa milioni 2 naa....kwahiyo hapo ni swala la power ya telescope au darubuni...

Kwa swala la mabadiliko, yawezakana ndio....kuna tofauti ya wingu zito jeupe linaloizunguka dunia kwenye picha ya 1968 ukilinganisha na hizi za karibuni....na of course nia ya hizi picha ni kujaribu ku address hiyo issue....kwa msisitizo wa mkutano ulioisha na kusainiwa makubaliano.. majuzi ..wa kulinda mazingira kwa kupunguza emission ya hewa ya carbon hewani...
 
75% ni maji!
anga ni la blue!
Ni lazima itareflect!
EARTH MUST SEEN IN BLUE!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…