Tazama akili za watumishi hawa wakiwa ndani ya uniform saa moja asubuh na wakiwa na nguo za kiraia saa mbili usiku mkoa wa Kilimanjaro

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Ninaweza nisieleweke vyema, nina Mwaka mzima napanda Daladala za kutoka Rombo kuja Moshi mjini Kila siku asubuhi mpaka jioni.

Kitu kinachonistajabisha ni hiki, ukitokea njia panda kwenda mjini Moshi Kuna matrafiki kibao, achana nao.

Askari WAKAGUZI WA biashara ya madawa ya kulevya wengi wa kutosha hasa mirungi, mathalani Kuna asakri mmoja huwa nampenda sana Kila shato au aice huwa anaisimamisha na kukagua Kwa kushusha abiria siti ya mbele huku akiinua kuchungulia chini ya siti kuangalia kama Kuna madawa hayo(Askari jeusi fupi Lina Mwili kidgo) Huyu Askari Kuna siku alitaka kuzishusha paspo kujitambulisha ukweli alijua amekutana na kenge maji meupe.

Shangazo;

Ukifika kituo Cha Himo kuanzia barabara inayo panda Marangu kwenda mpaka Marangu ni karibu sana na kituo Cha polisi panakuwa pana Nuka harufu ya mirungi na kiukweli vijana wote wa boda boda kutoka Himo mpaka Marangu mtoni mpaka mwika vijana wote wa boda wanakuwa wanachanja na uzuri zaidi Kuna wanetu wanavaa uniform mchana ila jioni wanachanja nao

Sasa mikwara ya Nini aise? Kutukagua road wakati jioni nyie ni wateja na boda wetu?

Kwa Nini Askari mnaokagua asubuhi hamwezi kagua jioni vijiwe vya boda?
Hizo ndo akili za WAKAGUZI wetu.
 
SEMA NIMEGUNDUA WE JAMAA NI SHAMBA NA UNACHUKI NA WACHAGA TOKA ULE UZI WAKO WA MASALE... HUJISTUKII KWAMBA WATU WAMEKUPUUZA
Nikawa najiuliza Mchagha gani asiyeenda shule anaandika mwandiko mbovu kiasi hiki?kumbe mamluki!

Wewe mleta mada,Dara Dara ndiyo kitu gani?na je hiyo "asakari" ndo lugha ya kwenu mlivyofundishwa kutamka?
 
HUYU JAMAA NI WAKUPUUZWA KUNA UZI ANASEMA KWENYE KILA BODABODA KUMI WATATU NI MASHOGA KWA MKOA WA KILIMANJARO
 
Nina weza nisieleweke vyema,Nina Mwaka mzima napanda Dara Dara za kutoka rombo kuja Moshi mjini Kila siku asubuh mpaka jioni.

Kitu kinachonistajabisha ni hiki,ukitokea njia panda kwenda mjini Moshi Kuna matrafiki kibao,hachana nao.

Asakari WAKAGUZI WA biashara ya madawa ya kulevya wengi wa kutosha hasa mirungi,mathalani Kuna asakri mmoja uwa nampenda sana Kila shato au aice uwa anaisimamisha na kukagua Kwa kushusha abilia siti ya mbele huku akiina kuchungulia chini ya siti kuangalia kama Kuna madawa hayo(Askari jeusi fupi Lina Mwili kidgo) Huyu Askari Kuna siku alitaka kuzishusha paspo kujitambulisha ukweli alijua amekutana na kenge maji meupe.

Shangazo;

Ukifika kituo Cha himo kuanzia barabara inayo panda Marangu kwenda mpaka Marangu ni karbu sana na kituo Cha polisi panakuwa pana Nuka harufu ya mirungi na kiukkweli vijana wote wa boda boda kutoka himo mpaka Marangu mtoni mpaka mwika vijana wote wa boda wanakuwa wanachanja na uzuri zaidi Kuna wanetu wanavaa uniform mchana ila jioni wanachanja nao

Sasa mikwara ya Nini aise?kutukagua road wakati jioni nyie ni wateja na boda wetu?
Kwa Nini Askar mnao kagua asubuh hamwezi kagua jioni vijiwe vya boda?
Hizo ndo akili za WAKAGUZI wetu.
Hizo Dara Dara za Rombo zina masikio?
 
Wewe na yeye wote Takataka hamna akili. Kuna hoja gani hapo? Yeye anavoattack integrity ya jamii husika kila mara huoni ni personal?
inawezekana kweli mimi ni takataka hiyo sijabisha hata kidogo,ila siangalii hiyo unayosema kila,nasemea uzi huu,na sijaona sehemu ametaja kabila la mtu kwenye huu uzi.
 
Kanda ya kaskazini majority ni nani? Tukisema kanda ya ziwa majority ni nani? Tukisema pwani? Dah
 
Nina weza nisieleweke vyema,Nina Mwaka mzima napanda Dara Dara za kutoka rombo kuja Moshi mjini Kila siku asubuh mpaka jioni.

Kitu kinachonistajabisha ni hiki,ukitokea njia panda kwenda mjini Moshi Kuna matrafiki kibao,hachana nao.

Asakari WAKAGUZI WA biashara ya madawa ya kulevya wengi wa kutosha hasa mirungi,mathalani Kuna asakri mmoja uwa nampenda sana Kila shato au aice uwa anaisimamisha na kukagua Kwa kushusha abilia siti ya mbele huku akiina kuchungulia chini ya siti kuangalia kama Kuna madawa hayo(Askari jeusi fupi Lina Mwili kidgo) Huyu Askari Kuna siku alitaka kuzishusha paspo kujitambulisha ukweli alijua amekutana na kenge maji meupe.

Shangazo;

Ukifika kituo Cha himo kuanzia barabara inayo panda Marangu kwenda mpaka Marangu ni karbu sana na kituo Cha polisi panakuwa pana Nuka harufu ya mirungi na kiukkweli vijana wote wa boda boda kutoka himo mpaka Marangu mtoni mpaka mwika vijana wote wa boda wanakuwa wanachanja na uzuri zaidi Kuna wanetu wanavaa uniform mchana ila jioni wanachanja nao

Sasa mikwara ya Nini aise?kutukagua road wakati jioni nyie ni wateja na boda wetu?
Kwa Nini Askar mnao kagua asubuh hamwezi kagua jioni vijiwe vya boda?
Hizo ndo akili za WAKAGUZI wetu.
Ungetuwekea picha zao kuleta uzito wa story yako
 
Unaongelea Rombo ipi we mbwa? Unapanda daladala kila siku kutoka Rombo kwenda Moshi mjini? Uongo gani huu?? KILA SIKU? Muongo mkubwa ww.

Umbali wa Rombo (let's assume ni hapo tu Keni haufiki Mkuu, Usseri wala Tarakea) kutokea Rombo ya karibu ambayo ni Keni mpaka Moshi mjini ni almost 60+ Kilometers, sasa kwa tafasiri ya kila siku unamaanisha unaenda Km 60 unarudi Km60, kwa siku 120Km kila siku? Mbwa kabisa ww, nenda Facebook kaongopeana na wala mirungi wenzako. Takataka kabisa
 
Back
Top Bottom