Tayari Watu wameshapigwa huko!

Duuuh jamaa kajiamini Hadi kubadili rangi ya bendera.
 
Wabongo asilimia kubwa ni wajinga
Na bado wataendelea kupigwa
Maana hawasikiii,hawaelewi

Ova
Tatizo la wabogo wana akili fupi wanajua kufanikiwa maisha ni jambo jepesi hawajui kufanikiwa ni mchakoto mrefu wenye misukosuko mingi.
 
Waendelee kupigwa sana. Watanzania wanaamini shortcut. Baadhi hawataki kujibiidisha wala kujiongeza.
 
Kabisa,wapigaji wanaamini wajinga hawaishi

Ova
 

Aondoke na hiyo picha ya mama samia kama kumbukumbu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…