Tayari Watu wameshapigwa huko!

Mkuu ndo hiyo kampuni ishawapiga watu mamilioni wamewaachia tai na leseni feki ofisini kwao
 
Kwa kweli hii ni aibu hata kwa Serikali its very shame hatuko makini kabisa .Kampuni mpk inafanya mambo yote hayo Serikali haina habari sasa wangalikuwa magaidi je ?serikali inatakiwa itoe list za foreign company zilizosajiliwa ktk mtandao wao wa Serikali .Dah hii kitu mbaya sana ,jamani hakuna pesa za bure au rahisi tufanyeni kazi wacheni tamaaa tamaaa .
 
Hata Hawa scatec walikuwa wa ukweli. Mwanzoni wanaanza Kama wa ukweli, mwishoni ndio wanageuka.

Sio kama wanaanza kama wakweli ,ndio strategy ya upigaji inavyokuwa ,kwanza unaweka chambo kunasa "MAZUZU" ,kuna sehemu watu walishawai kulizwa mchana kweupe.

Jamaa walikuja sehemu wakakodisha nyumba nzima wakalipia miezi mitatu ,wakaweka fenicha fresh,computer printer etc ,wakaja na issue ya kupanda mbegu baada ya wiki unavuna mara tatu yake,wakawatoa watu 6 kama chambo hivi ili kuaminisha umma.

Wale jamaa sita kweli waliweka pesa baada ya wiki wakipgwa mara tatu yake,week inayofuata wakaja watu wa kutosha kuwekeza mipunga,wengine wakaweka hadi 10m ,ndani ya week wakakusanya mtonyo tu wa kutosha aiseee ,baada ya kuona mission imekamilika WAKASEPA na KIJIJI nyuma wakaacha MAYOWE.
 
Safi sanaaa

Maana wajinga ni wengi na bado

Hawasikii

Ova
 
Safi sanaaa

Maana wajinga ni wengi na bado

Hawasikii

Ova

Mkuu wapigaji wenyewe wanajisifu kwamba WAJINGA hawaishi maana wakiisha wao watakufa NJAA.

Kama mdau anavyosema watu hawajajifunza huko nyuma kwenye DECI , Faida Investment etc hayo mambo ya 2006-2008 lakin hadi leo miaka 14 after watu wanaendelea kupigwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…