Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

Mnapigwa kwenye location accuracy... Inatakiwa kuwa high accuracy sasa madereva wanaweka low accuracy ramani hazisomi vyema....

Chukua hiyo kawaelekeze na wazembe wengine....
Nishawahi taka pigana na dereva kisa nimemuambia nionyeshe location settings...

Mjini mipango...View attachment 1016243

Sent using Jamii Forums mobile app
inabidi kuwakagua unapohisi umepigwa mana hawa jamaa wezi sana
 
Tatizo huenda hujawahi miliki gari chief, ushadanganywa sana huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa juu ya gari mafuta na A/C
Ukiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ub

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshafanyiwa hivi na dereva uber.

Tuligombana usiku mzima. Na nilimpa hela iloonekana mwanzo.

Nikamwambia kama nimekuonea kalalamike Uber ili wao wanitafute.

Haiwezekani mwanzoni projection isome 9000 halafu mwisho wa safari ije 24,000.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mimi kuna siku nilimgomea kulipa, na nikamwambia pesa iliyoonyweshwa ndio nilitoka nayo kwangu
 
Wengi mnatapeliwa kwenye map settings and location. Inabidi ujielewe ukizubaa unalia
 
Naona watu wa uber mko kazini mm napanda snaa taxify sijaona tabu hio lbda tu tabu kubwa ni madereva hawajui kusoma map mpka umeuelekeze. Issue ya bei kupanda ninavojua wanakualert kama kuna price surge kbla hujarequest.

Mimi mtumiaji wa huduma ya Taxify na nakiri matatizo hutokea hasa kutokana na ma dreva wasio waaminifu huchezea GPS, kifupi “wanayumisha dish”. Hivyo utaona bei kubwa mwisho wa safari. Ni vizuri ukawa unajua umbali wa safari yako ili mwisho wa safari simu itasoma kilomita ngapi na umetumia muda gani. Mimi imenitokea mara kadhaa kwa vile umbali wa safari yangu ni kilomita hazizidi 13, ikizidi huwa natoa report kwa email na hupata majibu kutoka kwa Ally au Maria. Na hueleza tatizo na huwa napata refund kupitia e-wallet.
 
Mimi pia nimeshapata refund mara kadhaa kwa sababu ya GPS issues. Wasiwasi wangu ni wangapi hawajui kilometa ikoje au wanasoma email za risiti zinazokuambia umbali wa trip yako? Kuna uwezekano haya matatizo ya GPS yana manufaa kwa taxify ndio maana hayarekebishwi maana teknolojia ni teknolojia kama Uber wana solution taxify wanashindwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom