Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

Leo nimepanda uber toka kariakoo to chuo kikuu nauli nimelipishwa 5000/=. afu nikachukua taxify toka chuo kikuu mpaka kimara mwisho kupitia barabara ya msewe. nikashangaa nachajiwa nauli ya 12,000/=.so nikawa najiuliza kariakoo hadi chuo kikuu na chuo kikuu hadi kimara via msewe wapi mbali?
taxify wezi sana
 
Madereva tutawanyosha mpaka mkome ole wako uite taxify ni mwendo wa kutingisha dish tu hahaha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
SIJAWAHI PANDA taxfy wala uber...napambana na bodaboda zangu na mwendokasi.
 
Ukiona wi gu ni dalili ya mvua, serikali iangalie Bei wanazotoa hao uber au taxify wamezipata wapi ,sumatra au jiji, umweli lazima uwe ukweli kabla ya kulaumu Tafuta abiria mwenye kagari kake atoke kariakoo mpaka kimara na awashe AC aweke mafuta ya elfu20na kifoleni aone kama atafika ub
Hujui gari wewe kaa kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom