Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

Hahaha, kuna mtu alishaonesha jinsi wanavyopiga kwenye issue za maps. Ukipanda simu inawekwa kwenye low battery mode, ukifika mwisho wa safari anawasha na kukupigia mahesabu. Unajikuta gharama imeenda mara kadhaa kwa sababu inapiga zigzag.
Mkuu sijakuelewa,low battery mode na usafiri huu kuna connection ipi,nijulishe tafadhali nipate elimu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka utra power, network inakata kwa hiyo mnasafiri kibubu bubu, mkifika mwisho wa safari anaweka kawaida. Akilogin kwenye map inahesabu mlikoanzia safari mpaka hapo mlimpo ila haikurecord njia.

Inaforce kupiga kona kona mpaka inatokea hapo mlipo, na hivyo kms zinasoma nyingi unachajiwa zaidi.

Ukiona humwelewi unaomba muiangalie hiyo route, unaweza kushangaa kutoka Morocco mpaka Mwenge inakuonesha kwamba mmepita Ubungo wakati siyo.
 
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana

kwanza kampuni gani aina address phone no mnawasiliana kwenye email tu yaani ukitokea umepigwa kuwapata issue jua hela yako umeliwa na hata mzigo wako

pili sasa hivi wanaiba kama unataka uanze safari mfano unatoka manzese unaenda kimara pesa itakuja 4000 mpaka 5000 ila mwisho wa safari ngoma unapigwa 12000 au 20000 ni safari ya kwenye moro au dodoma na dreva wao wakali kweli ukitaka kuwasiliana nao hawana no ni wa email tu

tatu madreva wa wanatumia huu usafiri wengi wao wanalalamika kua bonasi zao hawapewi ikitokea wakifatilia wanaaambia bonasi imefuta bado na kila siku deni haliishi

mamlaka husika fatilieni hii issue watanzania wanatapeliwa bora kufuta kabisa hii imenikuata kama mara mbili hivi

nime attached na baadhi ya watu wakitoa malalamiko kwenye page yao alau kwa jeuri hawajibu wakati makampuni mengine kwenye malalamiko wako active kukujibuView attachment 1014611View attachment 1014612View attachment 1014613

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapigwa kwenye location accuracy... Inatakiwa kuwa high accuracy sasa madereva wanaweka low accuracy ramani hazisomi vyema....

Chukua hiyo kawaelekeze na wazembe wengine....
Nishawahi taka pigana na dereva kisa nimemuambia nionyeshe location settings...

Mjini mipango...
Screenshot_20190207-235506_Settings.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka utra power, network inakata kwa hiyo mnasafiri kibubu bubu, mkifika mwisho wa safari anaweka kawaida. Akilogin kwenye map inahesabu mlikoanzia safari mpaka hapo mlimpo ila haikurecord njia.

Inaforce kupiga kona kona mpaka inatokea hapo mlipo, na hivyo kms zinasoma nyingi unachajiwa zaidi.

Ukiona humwelewi unaomba muiangalie hiyo route, unaweza kushangaa kutoka Morocco mpaka Mwenge inakuonesha kwamba mmepita Ubungo wakati siyo.
Hhh asee,wabongo nyosso.
Shukrani umenifungua macho hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana

kwanza kampuni gani aina address phone no mnawasiliana kwenye email tu yaani ukitokea umepigwa kuwapata issue jua hela yako umeliwa na hata mzigo wako

pili sasa hivi wanaiba kama unataka uanze safari mfano unatoka manzese unaenda kimara pesa itakuja 4000 mpaka 5000 ila mwisho wa safari ngoma unapigwa 12000 au 20000 ni safari ya kwenye moro au dodoma na dreva wao wakali kweli ukitaka kuwasiliana nao hawana no ni wa email tu

tatu madreva wa wanatumia huu usafiri wengi wao wanalalamika kua bonasi zao hawapewi ikitokea wakifatilia wanaaambia bonasi imefuta bado na kila siku deni haliishi

mamlaka husika fatilieni hii issue watanzania wanatapeliwa bora kufuta kabisa hii imenikuata kama mara mbili hivi

nime attached na baadhi ya watu wakitoa malalamiko kwenye page yao alau kwa jeuri hawajibu wakati makampuni mengine kwenye malalamiko wako active kukujibuView attachment 1014611View attachment 1014612View attachment 1014613

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wizara gani z/inawajibika kwa hili?
 
wezi sio taxfy bali madereva wao, kuna sehemu ya support ukienda unaandika malalamiko yako isitoshe wanakutumia e mail ya malipo yao tatizo kubwa ni madereva wao wengi sio waaminifu imeshanitokea mara mbili mara ya mwisho ni wiki iliyopita route ya 6000 walinicharge 30000 baadae ikaja e mail kuonyesha kiasi nilichotakiwa kulipa nilienda ofisi zao ziko mikocheni kwa nyerere baada ya kuripoti wakamkata dereva na dereva wakasema wanamfungia ila walitakiwa kuwa na namba ya customer care kwani madereva wengi si waaminifu
 
isitoshe kama pesa imekuja tofauti na estimation mara nyingi tofauti ni kama 1000 au mbili unaweza usilipe mpaka uwasiliane na ofisi zao hayo maelezo niliyapata ofisini kwao
 
Madereva kuna mchezo wanafanya kwenye location..wenyewe wanaita kutingisha dish..hapo sehemu ya 5000 lazima upigwe kuanzia 10000
 
ofisi zao zipo sehemu gani nielekeze nikachukue helw yangu
wezi sio taxfy bali madereva wao, kuna sehemu ya support ukienda unaandika malalamiko yako isitoshe wanakutumia e mail ya malipo yao tatizo kubwa ni madereva wao wengi sio waaminifu imeshanitokea mara mbili mara ya mwisho ni wiki iliyopita route ya 6000 walinicharge 30000 baadae ikaja e mail kuonyesha kiasi nilichotakiwa kulipa nilienda ofisi zao ziko mikocheni kwa nyerere baada ya kuripoti wakamkata dereva na dereva wakasema wanamfungia ila walitakiwa kuwa na namba ya customer care kwani madereva wengi si waaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia na nafurahia sana taxify kuliko uber.bei zao no cheap na hawana longolongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom