dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,681
- 18,588
AhahahahahahahHv we Kila siku unahitaji maswali halafu saili zenyewe uhudhurii,, hebu acha kusumbua wenzio.. Alaaaah..!!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
AhahahahahahahHv we Kila siku unahitaji maswali halafu saili zenyewe uhudhurii,, hebu acha kusumbua wenzio.. Alaaaah..!!!
Niliingia uvivu tu mkuu+nikawa sijajiandaa.nikaona hiyo nauli ngoja nipige safari lager tu hapa kwa dada Beti.
Nimekufurshisha nini mheshimiwa?
Jamaa amesema kuw wee kila siku huwa uanuliza maswali huku maudhurio Ni hafifuNimekufurshisha nini mheshimiwa?
Mm wacha nijaribu kesho customNiliingia uvivu tu mkuu+nikawa sijajiandaa.nikaona hiyo nauli ngoja nipige safari lager tu hapa kwa dada Beti.
Achana na huyo mvuta bangiJamaa amesema kuw wee kila siku huwa uanuliza maswali huku maudhurio Ni hafifu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu wa calc alaf hamuendi na calculator duh anyways 🍻Paper ilikuwa kawaida muda ni mdogo na mbaya zaidi wengi hawakuja na calculator
Nilisota mtaa kama miaka 5 hivi sina ajira, mambo hovyo asikwambie mtu nimechoka balaa, nikaitwa interview moja picha linaanza tulikuwa kama buku 3 hivi halafu nafasi chache balaa, dah nilikatishwa tamaa sana ila nikasema ngoja nijaribu tuSikiza mkuu, hapo hakuna cha kujiandaa vema unaeza shangaa ukatokea oral ya Mungu mengi. Ile nyomi ni balaa
Mfanyakazi anayefanya efilling ya VaT kila mweziDefine
1 exercisable goods
2 Customs valuation
3 input tax
4 output tax
5 exempt supply
6 zero rated supply
7 stamp duty
8. Partial input tax credit
9. Classification of stamp duty
10 efd second phase targeted groups
11efd offences and penalty for offences
12. Imposition of income tax as per capture 332 of ITA 2019
13. Simple calculation on given sales from January to june and provide penalty if any for non payment of those V.A.T's
Hayo ndiyo maswali yote
Note maswali yalikua 5, ila yana parts ndogo ndogo
Ni kweli mkuu maisha aya utakiwi kukata tamaa, nakumbuka 2020 nilifanya interview pale duce ilikuw ni ya tax mgt officer watu tulikuwa kama buku sita hivi yan lile nyomi achen tu japo kuna jamaa zangu walinikatisha tamaa lkn nilienda nilifanya mungu mkubwa nikaitwa oral mwisho wa siku nilipata kazi. Ndugu zangu wote ambao mnatafuta ajira msikate tamaaNilisota mtaa kama miaka 5 hivi sina ajira, mambo hovyo asikwambie mtu nimechoka balaa, nikaitwa interview moja picha linaanza tulikuwa kama buku 3 hivi halafu nafasi chache balaa, dah nilikatishwa tamaa sana ila nikasema ngoja nijaribu tu
Pepa ilikuwa imeshonwa hasa, natoka nilipiga simu kwa kila mtu nimekosa nimekosa ukijumlisha na ile nyomi nilikata tamaa kabisa. Kama siku kadhaa majina yanatoka nimepita oral, kwanza sikuamini aisee, nikaingia oral nikapita na kazi nikapata
Toka hapo nilijifunza kuwa maisha yana namna ya kutu - surprise kila siku and never say never, kila kitu kinawezekana wasikate tamaa tu
Mkuu cheating ni kipajiHaya si unagogle ama hunguingia na device yenye intenate
The end justify the means. Sasa jamaa anafeli huku anaonaMkuu cheating ni kipaji
Haya si unagogle ama hunguingia na device yenye intenate




Kuna jamaa aliweka cm kwenye socks na kifaa hakiku detect
Utumishi wanakagua na kile kifaa cha kudetect electronic devices mkuu
Custom huwa haina mambo mengi sana kama Tax ManagementLeo tumefanya custom asbh kila mtu anasema ameuona paper iko vzr sas sijui Nani atafeli kwa paper ile
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
SAS Jana tax Jana ilikuwa mteremko hata huu wa leo tuvijana waliomaliza vyuo mwka Jana na juzi nitashanga wakikosa kaziCustom huwa haina mambo mengi sana kama Tax Management