Wametoa maswali gani mkuu?Ndugu zangu poleni sana kwa paper tulilopitia la Tax Managemeng officers II, bado tunaendelea kukosa ajira kwa kuteseka na mitihani, hongereni kwa wote mliojiandaa vyema, Mungu atubariki sote.
Maswali yalikuwa kutafuta total VAT walitoa mauzo ya miezi 6 the unatafuta tota VAT, stamp duty, penalty za tax kukwepa Efd na mengine siyakumbukiTuwekee maswali mliyoulizwa,maana me niliitwa Dodoma huko nikaona uvivu kwenda.
Jaribu hata kuyaandika in summary basi,coz hii ni for future reference kwa wengine wataoitwa mbele ya safari tena.
Wamewaletea maswali ambayo ni practical na hii ndiyo ilitegemewa sasa vijana wetu wamekariri definitionMaswali yalikuwa kutafuta total VAT walitoa mauzo ya miezi 6 the unatafuta tota VAT, stamp duty, penalty za tax kukwepa Efd na mengine siyakumbuki
Then kuna wajuba watatoboa kama kawaidaMaswali yalikuwa kutafuta total VAT walitoa mauzo ya miezi 6 the unatafuta tota VAT, stamp duty, penalty za tax kukwepa Efd na mengine siyakumbuki
Hakuna research yaani maswali wamebase sana VAT, Income Tax na Customs la kuelezea kidogoHakukua na maswali ya research?
Na ni maswali mangapi mmetolewa
Custom waliuliza nin??.Hakuna research yaani maswali wamebase sana VAT, Income Tax na Customs la kuelezea kidogo
Short notes onJaribu hata kuyaandika in summary basi,coz hii ni for future reference kwa wengine wataoitwa mbele ya safari tena.
Explain Customs Valuation ila maswali mengi ni VATCustom waliuliza nin??.
Hv we Kila siku unahitaji maswali halafu saili zenyewe uhudhurii,, hebu acha kusumbua wenzio.. Alaaaah..!!!Tuwekee maswali mliyoulizwa,maana me niliitwa Dodoma huko nikaona uvivu kwenda.