Mussa kiraka
Senior Member
- Mar 4, 2012
- 106
- 13
Nauli si ajab imefichwa makwapani! Kuna watu watataja sehemu ya ajabu hapa.
Kwani hakuona matundu kwenye mwili wa huyo demu?
labda ndo alitumia mojawapo kama mfuko..
Matundu gani? mention pls
Mimi naishangaa ilivyo ya ajabu? Hukunipata ndugu kitalolo. Issue ni mshangao wa dreva kwamba yule dada akiwa uchi ataweka wapi hela ya nauli. Mie, kwa utani nikasuggest pengine angeweza kuweka hiyo hela kwenye makwapa yake.Katika mood hiyohiyo ya utani nikaongeza kwamba asitokee mtu kutaja sehemu ingine ya 'ajabu' ya kuweka hela.Mana yake: hiyo sehemu haitumiki kuwekea hela, ina kazi yake!hakunaga sehemu ya ajabu yaani inamaana wewe huwa unaishangaa tu ilivyo ya ajabu?
Mimi naishangaa ilivyo ya ajabu? Hukunipata ndugu kitalolo. Issue ni mshangao wa dreva kwamba yule dada akiwa uchi ataweka wapi hela ya nauli. Mie, kwa utani nikasuggest pengine angeweza kuweka hiyo hela kwenye makwapa yake.Katika mood hiyohiyo ya utani nikaongeza kwamba asitokee mtu kutaja sehemu ingine ya 'ajabu' ya kuweka hela.Mana yake: hiyo sehemu haitumiki kuwekea hela, ina kazi yake!
Dereva- sikushangai wewe najiuliza umeweka wapi naul yangu?
Kwani Nauli ni nini?
Matundu gani? mention pls
tax driver amepaki gari ghafla kaja demu uchi kapanda katika gari mazungumzo yalikua iv
Demu- nipeleke kariakoo
dereva akawa anamshangaa
Demu- unashangaa nini kwan huujui uchi wewe?
Dereva- sikushangai wewe najiuliza umeweka wapi naul yangu?
wewee!!....sema kariakoo...Pochi si hiyo humo shimoni!