Tawa driller thread

Tawa driller thread

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
Habari wana JF,

Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya mambo yahusuyo masuala ya biashara,humu tutapeana mbinu mbalimbali za kibiashara ili uweze kufanikiwa na kuifanya biashara yako kuwa imara na tutafundishana mambo mengine yoote yahusuyo business kwa ujumla.

Watanzania wengi tunapenda kufanya biashara au kuwa wajasiliamali lakini hatujuwi vitu mbalimbali vihusuyo hiyo sekta,sasa huu ndio uzi maalumu kwa ajili yetu ili tuweze kuelimika.

Nakaribisha kwa yeyote mwenye ujuzi au elimu kuhusu masuala ya biashara na ujasiliamali atuelimishe ili watanzania wengu tuelimike.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Watanzania wengi tunapenda kujiajili kwa kufanya biashara zetu yaani kuwa wajasiliamali lakini tunakumbwa na changamoto nyingi ambazo muda mwingine tunashindwa kuzikabili na zinatufanya tushindwe kuendelea na ujasiliamali.unaweza ukawa unazalisha bidhaa zako lakini ukawa hujuwi soko lipo wapi la bidhaa zako,hujuwi jinsi ya kuitangaza biashara yako,hujuwi mbinu sahihi za kiujasiliamali hivyo ni baadhi ya vitu ambavyo vjnatighalimu saana watanzania na hii ni kwa sababu hili somo la ujasiliamali hatufundishwi mashuleni mtu unakuja kulisoma hadi ukifika vyuoni kwa hyo kama hukufanikiwa kufika chuo huwezi kujuwa hivyo vitu vile vile watanzania tulio wengi hatuna tabia za kuingiya kwenye semina zinazohusu ujasiliamali au biashara kwa ujumla hasa tukiambiwa kutakuwa na kiingilio hapo ndipo utakapo wakimbiza watu kwa hatujuwi thamani ya kile unacho kwenda kukipata kwenye semina kina thamani kubwa zaidi ya hicho kiingilio chako ilichotowa
 
What does the term MARKETING mean?

Watu wengi wanazani kuwa marketing ni kuuza na kutangaza tu (selling and advertising). Hivyo vyote kuuza na kutangaza ni sehemu tu ya begi la marketing (marketing ni kama begi ndani yake kuna vitu vingi sana) hata hivyo navyo ni vitu muhimu kwani huwezi kuwa na bidhaa zako halafu usiuze au usitangaze hapo utakuwa ufanyi biashara.

Today,marketing must be understood not kn the old sense of making a sale "telling and selling" inatakiwa itazamwe kimtazamo wa kisasa ni kama satisfy of customer needs. Katika biashara kama huja muwin mteja wako basi huwezi kukaa nae huyo mteja,na njia mojawapo ya kumuwin mteja ni kusatisfy needs zake.

Example,mwanaume anapoenda kumtongoza mwanamke maana yake kuna kitu amekiona kwa huyo mwanamke thats why anahitaji kuwa nae mwanaume atatongoza hapo na mwanamke akimkubalia huyo mwanaume na akakaa nae kwa muda flani asiwe ana mlidhisha mwanaume wake( mwanaume asiwe ana ridhika kwa mwanamke wake basi ujuwe hawawezi kudumu lazima wataachana.

Nimeuchukuwa huo mfano ili tuangalie ni kwa kiasi gani satisfaction of needs ni muhimu saana kwa mteja vinginevyo utawakosa wateja.
Kama mwanamasoko (marketer) atafanya kazi nzur ya kuwaelewa wateja wake wanahitaji nini ( maana kuna tofauti kati ya kuhitaji na kutaka kwenye biashara) na aka provide a product that provide superior value,and price,usambazaji (distribute) vile vile aka promote effectively basi ujuwe hiyo product itauza vizuri na kirahisi saana.Kama utafata principles za marketing vizuri ujuwe biashara yako lazima ifanye vizur,katika marketing hakuna uchawi hata kidogo bali ni mbinu tu kuzidiana.

Thus selling and advertising are only part of large marketing mix.

MARKETING NI NINI
Marketi is a social and managerial process by which individuals and groups obtain what they need and want through creating and exchanging product and value with others

👆🏿hyo ndo maana halisi ya Marketing.
 
Kuna vitu vingi saana vinavyochangiya biashara kukuwa kwa kasi na kuwa imara.Kampuni nyingi sana zilizofanikiwa katika nyanja tofauti kuna kitu kimoja wana share kwa pamoja ukiangalia wanakuwa imara kwa wateja wao yaani strongly customer focused and heavily commited to marketing.

Kazi kubwa ifanyikayo ili kutimiza hayo malengo ni lazima kumotivate kila mtu kwenye taasisi ili kuzalisha huduma iliyobora kwa wateja bila kuwa motivate itakuwa ni kazi bure.Pale huduma itakapo anza kutolewa vizuri kwa wateja ndipo tutakapopata kitu kiitwacho high level of customer satisfaction ( kiasi kikubwa cha ulizikaji wa wateja kwa huduma zitolewazo).

Marketing ni zaidi ya dealing with customer lakini pia creating customer value and satisfaction ndio moyo wa modern marketing.Unapoongelea kuhusu modern maketing ni marketing dealing with creating customer value and satisfaction.

Ili biashara yako ishamili ni lazima utengeneze wateja wa bidhaa zako na pia bila kuwalizisha hao wateja wako ujuwe hutobaki na mteja hata mmoja ni lazima uwalizishe wateja wako kwa huduma zako hapo ndipo tunapata customer satisfaction.

The goal of marketing ni kuvuta wateja wapya kwa kuwaahidi superior value and to keep current customer by derivering satisfaction.Baadhi ya watu wanazani kuwa makampuni makubwa tu ndio yanayotakiwa kufanya marketing lakini si kweli sound marketing is critical to the success of every organization iwe kubwa au ndogo.Nadhani utakuwa umepata kitu kidogo kuhusu marketing-its all around you
 
Habar wana jf,natumai ni wazima tena wa afya.TAWA WATER EXPERT ni wajasiliamali tunaojihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima ( water well drilling) kazi zetu hizi tulianzia maeneo ya Morogoro wilaya ya kilosa na ndipo Ilipo Offisi yetu.Tumeanza shughuli za uchimbaji wa visima tangu mwaka 2013 tunauzoefu wa uchimbaji maeneo ya Dar es salaam,morogoro na baadhi ya maeneo ya Dodoma hayo ni baadhi ya maeneo tulio chimba visima na kufanya ground water survey,

Bei:

Bei zetu ni za kawaida sana na ni rafiki kwa kila mtanzania mwenye nia ya kuchimba kisima.
1: Eneo lisilo na mwamba mgumu tunachimba kwa shillingi 70000 kwa mita hapo tunanunuwa pampu pamoja na viunganishio vyake na pamoja na polypipes zinakuwa juu yetu
Au
Shillingi 65000 tunanunuwa pampu ila vifungashio vinakuwa pamoja na polypipes zinakuwa ni juu yake mteja
2: eneo lenye mwamba tunachimba kwa shilingi 80000 tunanunuwa pampu pamoja na viungio vyake na polypipes vinakuwa juu yetu au shillingi 75000 baadhi ya vitu ananunuwa kama nilivyo onyesha hapo juu
Nb: bei hizo juu ni kwa wateja wa Dar es salaam,kwa mikoani ni makubaliano tu

Bei za ground water survey

Ground water survey tuna fanya kwa shillingi Laki tatu kamili kama usafili utakuwa juu yetu au shillingi 250000 usafili ukiwa juu ya mteja pia bei hii ni kwa wateja wa dar es salaam kwa walionje ya Dar es salaam ni makubaliano tu

Point to note: Negotiation its there, welcome.

Malipo: kwa kuwa offisi zetu zipo mbali na mara nyingi wateja wanashindwa kufika offisini malipo yote huwa yanafanyika baada ya sisi kufika site pamoja na vifaa vyetu na siku huyo utakayotowa Advance ndio siku kazi itakapo anza,kabla ya kuanza kazi na kabla ya kutowa malipo kuna mkataba itabidi uupitiye na kuujaza pamoja na sisi kuujaza kisha ndio taratibu za uchimbaji na malipo yatafuata.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0628080096 pia unaweza kutuma msg watsapp.
Sory these number for seriouse clients only, welcome.
 
Last edited:

M

Mteja atathibitisha vipi kama mwamba ni mgumu au laini. Ebu tuweke range kuwa visima kuanzia urefu Wa mita mfano 20 had I hamsini mwamba mgumu gharama zote mpaka kupata maji ni sh. Y n.k endelea hivi kwa mwamba laini nk. Suala la usafiri nivema likawa kwenu. Tunahitaji gharama za jumla sio ututajie kitu kimoja kimoja. Mteja atajuaje kama maji yanayochimbwa no ya chumvi au la. Ikitokea mmechimba maji mkakosa itakua hasara ya nani? Je, kabla ya kuanza kujimba mnaweza kubainisha umbali wa kupata maji? Kama sio hivo hamuoni kuwa shughuli hii inafanyika kwa kubahatisha? Hali hii so inaweza kuleta mtafaruku kati yenu na mteja? MAJIBU TAFADHALI!!
 
Suala la kujuwa kuwa mwamba ni mgumu au laini litajulikana baada ya kufanya ground water survey. Na kisima cha mita hamsini kwa mwamba mgumu itaghatimu shillingi,
Mita 1= 80000 tsh
Mita 50=??
Apply cross multiplication
Mita 50 × 80000 tsh/1mita
Cut mita both side
4000000 tsh
Kwa hyo kisima chenye mwamba mgumu cha mita hamsini kinagharimu shillingi millioni nne kamili hapo wapata kila kita mpaka maji yanatoka

Kisima chenye mwamba laini cha mita hamsini kitagharimu shillingi
Mita 1= tsh 65000
Mita 50=??

Mita 50 × 65000/mita 1
3250000 tsh
Hizo ndio gharama za kisima cha mita 50 for soft rock

Mara zoote kwenye suala la uchimbaji wa kisima na kwenye inshu ya kumobilize machine kuja site usafili huwa juu yetu ni katika kumpunguzia gharama mteja.
Suala la quality ya maji huja mara nyingi baada ya maji kuchimbwa yaani hatuwezi kujuwa kuwa maji haya yapoje mpaka yatakapo kuwa yameshachimbwa tayari.Pia zipo njia ya kupunguza au kuondowa chumvi.
Ikitokea tumechimba tukakosa maji sasa hapo tutaangalia jee eneo hilo limefanyiwa ground water survey? Jibu kama ni ndio limefanyiwa,jee nani kafanya survey? Hapo itabidi aliyefanya survey awe responsible kwenye suala hilo ila kama survey tumefanya sisi wenyewe pia tutakuwa responsible kuyatafuta maji hadi yapatikane.Mara zote huwa tuna chimba kisima kwa kufuata maelezo ya ground water survey report,yenyewe ndio inatuelekeza tuchimbe mita ngapi,tutumie mashine ya aina gani katika kuchimba hapo pia hapo kuna mwamba wa aina gani soft au hard na ni vyema maji yakishachimbwa yapimwe kwanza kujuwa kama yanafaa kwa matumizi ya binaadamu.
Nb:huwezi kubaini umbali wa maji yalipo kabla ya kuchimba kisima kama hujafanya ground water survey

Angalizo: Ni vyema atakaye kufanyia ground water survey ndiye huyo huyo akuchimbye kisima incase yakitokea matatizo yoyote katika uchimbaji yeye mwenyewe ndio awajibike.

Usisahau hii ni biashara maongezi yapo.
 
Je ,ikitokea unapochimba kisima kuna dhahabu kwenye udongo unaotoka chini, dhahabu itakuwa ya nani kwa mujibu Wa mkataba wenu? Nakama hilo halimo hauoni kuwa mkataba wenu utakuwa shallow???
 
Napita tu
 
Tumia maji yako mwenyewe kwa raha zako plz wasiliana nami ili upate kisima chako mwenyewe
 
Yaani Tshs 70,000/= ndio bei rahisi??
Mkuu umeiona hiyo 70000 ila 65000 hukuiona? Vile vile urahisi wa bei unakuja pale kuwa unajilinganisha na nani? Kuna watu wanachimba mpaka kwa laki moja kwa mita kwa hapa mjini.
 
Na kuna watu wanachimba mpaka kwa Tshs 50,000/= kwa mita moja hapa mjini
 
Karibu tukuhudumie
 
Attachments

  • 1456058231576.jpg
    1456058231576.jpg
    47.6 KB · Views: 66
Back
Top Bottom