AL-USTADH
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 406
- 226
- Thread starter
- #21
Lengo sio kutafutwa lengo ni kusaidia watu waweze kuondokana na tatizo husika ndugu.Lazima wakutajie vitu ambavyo havipo bara wala visiwani ili uwatafte
Kama kitu kinaitwa saa siwezi kuita gari wakati jina lake ndio hilo. Sasa suala la kufaham au laa ni la mtu binafsi.
Hartiti
Hartiti n nn hyo
Hartiti ni moja kati ya dawa za kiarabu inayotumika kwa mambo mengi sana.Hartiti ndio nn hapo sijapata hata moja
Jinsi ya kuipata ni kufika kwenye duka lolote like la dawa za asili lililo karibu yako ukiulizia tu Hartiti utapewa na wala sio ghali.
AHSANTA.
.