Mimi nadhani jamaa asepe,if there're no kids involved. Kwa sababu kama dadaa alikuwa na mapenzi ya kweli angei cover hiyo tatoo kwa kuipa sura nyingine. Wapo ma-artist wanaweza kudesign totoo ya maandishi kuwa ya maua au matunda.
ushauri:
Abadilishe tatoo kutoka "I love you Kevin" aifanye kama kitita cha Zabibu.
Halafu aongeze maneno haya chini ya kitita cha zabibu....."NI ZAKO ZABIBU, KULA TARATIBU".