KumbeMichoro ama tattoo imeanza mnamo karne ya 1 Uajemi na Mashariki ya mbali. Kipindi hicho ilikua mtu kichaa haswa mwezi mchanga, mwenye ukoma, au tauni alikua akichorwa alama ya dole la kati ambalo lilimaanisha 'This person shall f.uck you over'
Wajapan wakapokea utamaduni huo. Isipokua wao wakautumia kivingine, maninja waliouliwa mamasta wao walikua wakijichora mchoro ulioitwa 'Flores de noche buena' ukimaanisha 'Tutakutana usiku na taji la maua'
Wachina hawakua nyuma Yakuza wakapokea hii michoro. Mfalme Hua We Ih baada ya kupokea kijiti akiwa na miaka 14 akaamuru achorwe mchoro wa titi la mwanamke.
Muda huo huo kuna ushahidi wa kuonyesha wamakonde wakijichora michoro usoni ambayo kimsingi ilimaanisha 'am so fukcing ugly dont look at me' na 'how about this zigzag tattoo?'
Someni sana historia vijana
Mshike sana historia usimuache aende zake. Huo ni mstari kutoka biblia zinazouzwa Buguruni Malapa.Kumbe
Duh! Umetisha mkuuMichoro ama tattoo imeanza mnamo karne ya 1 Uajemi na Mashariki ya mbali. Kipindi hicho ilikua mtu kichaa haswa mwezi mchanga, mwenye ukoma, au tauni alikua akichorwa alama ya dole la kati ambalo lilimaanisha 'This person shall f.uck you over'
Wajapan wakapokea utamaduni huo. Isipokua wao wakautumia kivingine, maninja waliouliwa mamasta wao walikua wakijichora mchoro ulioitwa 'Flores de noche buena' ukimaanisha 'Tutakutana usiku na taji la maua'
Wachina hawakua nyuma Yakuza wakapokea hii michoro. Mfalme Hua We Ih baada ya kupokea kijiti akiwa na miaka 14 akaamuru achorwe mchoro wa titi la mwanamke.
Muda huo huo kuna ushahidi wa kuonyesha wamakonde wakijichora michoro usoni ambayo kimsingi ilimaanisha 'am so fukcing ugly dont look at me' na 'how about this zigzag tattoo?'
Someni sana historia vijana
Michoro ama tattoo imeanza mnamo karne ya 1 Uajemi na Mashariki ya mbali. Kipindi hicho ilikua mtu kichaa haswa mwezi mchanga, mwenye ukoma, au tauni alikua akichorwa alama ya dole la kati ambalo lilimaanisha 'This person shall f.uck you over'