Tatizo wakubwa

Tatizo wakubwa

Joined
Aug 7, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mimi natumia huawei u8185 ascend y100 lakini tatizo ni kwamba imegoma kusomeka kwenye pc kila nikijalibu kuplug kwa pc. Pc inasema usb device not recognized naomba msaada wenu ili niweze kuinstall hizo drivers. Ahsante.
 
hilo ni tatizo kwenye port za pc yako, lazima ionekane tu hata bila drivers maana unaweza itumia kama usb drive,

suggestions: badili port, jaribu port au tumia waya mwingine
 
kaka nimefanya hinyo lakini haisomi kabisa hata kuinstall drivers haileti nisaidie mkubwa.
 
Nisaidien jaman kila nikiplug usb cable tatizo ni lilelile nimebadili waya pot bado inanipa ujumbe uleule hata kwenye pc nyingine. Yaani usb device not recognized.
 
Kaka nina simu hiyo nimestukia juzi kuwa ni Mchina, we icheck fresh zinasumbua mno, binafsi simu ilikuwa na google play store,ikafutika nilipojaribu kui-download google play imegoma mpk leo
 
Back
Top Bottom