SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
nna demu wangu ambae tunapendana sana kwa hiyo kuhusu mapenzi kwetu hakuna tatizo kabisa.... Tatizo ni kwamba mi nimemzidi miaka minne (4), je wadau hilo sio tatizo kweli!? Maana wakati mwingine huwa najihisi kama mimi ni 'KAFATAKI' vile. Halafu kibaya zaidi yeye bado anasoma halafu mi nshamaliza kitambo so sometime naona kama nampotezea muda wake wa masomo coz siku nyingne anawahi kutoka shule ili aje home kukaa nami... Na akikaa na mimi ni story za mapenzi tu na sio kuhusu masomo yake. Hebu nshaurini wadau....