Dah!kama yuko o level ni changamoto aisee,...kuna uzi humu umewahi kuletwa unaelezea mtu aliyepigwa miaka 30 jela kwa mazingira kama hayo hayo!o level atakuwa chini ya miaka 18(vinginevyo alichelewa kuanza shule) kwa sheria zetu huyo ni mtoto,nashauri uvue uhusika wa mtu na mpenzi wake angalau kwa sasa!