Tatizo sio Magufuli kuwa Rais, ni CCM kupata zaidi ya wabunge 217 out of 264

msemakweli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,627
880
Hiki kitu hiki ndicho chanzo cha ubabe wa CCM.

Sheria nyingi zinahitaji at least theluthi mbili. Hii ni sawa na wabunge 176.

UKAWA tungejitahidi kupata angalau wabunge 88.

Tutarajie wabunge wa upinzani kuendelea kufukuzwa bungeni na zile 'ndiyooooooo' za CCM.

UKAWA inabidi tujiimarishe huku chini kwenye wabunge. Bunge ndilo kila kitu!

Nimesikitishwa sana na hili.
 
Nimesikitishwa sana na hili. :angry:

Ujiimarishe kwenye bunge lipi? Kama ni bunge la 2020-2015 ujua CCM watakuwa wameshavumbu njai nyingine ya kukubwaga.
 
Ukawa wapuuuz wanakurupuka, watu wa mipamgo kama kina kitila.mnawafukuza.mnawacha kina Ben saa nane mnategemea nn? Waache wapotee
Kitila ameisaidia ACT kupata wabunge wangapi?
Ni rahisi kusema wanakurupuka, lakini ni lazima kufahamu kwamba katika mazingira ya sasa ya uchaguzi lazima iwe vigumu kujitanua. Zoezi hilo linafanyika taratibu na mwisho wa siku litafanikiwa. La msingi ni kwamba Chadema/Ukawa waendelee kuwa imara na kukua...someday mambo yatafikia hapo tunapotaka (if you are one of us). natambua kuna majimbo mawili matatu ambayo ukawa wameyapoteza kwa sababu ya kusimamisha wagombea wawili wa ukawa...otherwise, we have to move on and focus on the way forward.

Remember, the coming elections begin NOW!
 
Ujiimarishe kwenye bunge lipi? Kama ni bunge la 2020-2015 ujua CCM watakuwa wameshavumbu njai nyingine ya kukubwaga.

Tumerudi kwenye kalenda ya BC ambapo miaka inahesabika kinyumenyume?

Kuhusu mbinu, ni kweli CCM wanazo mbinu nyingi sana tena ovu...inabidi kulijua hilo, lakini kidogo kidogo Upinzani inabidi wajitahidi kupambana nao...

Kivipi? sijui.
 
Mbona hesabu yako haipo sawa. Majimbo 264. Cuf 24. Cdm 35. Nccr 1. Jumla upinzani ni 59.
Hivyo 264-59=!?
 
Ukawa wapuuuz wanakurupuka, watu wa mipamgo kama kina kitila.mnawafukuza.mnawacha kina Ben saa nane mnategemea nn? Waache wapotee

Mhh! Wahusika wa Mirembe wanatafakari kukuita uhudhurie huduma za clinics zao. Unavigezo vyote vya kuwa mteja wao.
 
Bila katiba mpya ni kujidanganya kushiriki uchaguzi Tanzania either kwa kupiga kura au kwa kupigiwa kura, refer Mbagala Dar
 
Ukawa wapuuuz wanakurupuka, watu wa mipamgo kama kina kitila.mnawafukuza.mnawacha kina Ben saa nane mnategemea nn? Waache wapotee
Mpuuzi ni ma mi yako uliyemwacha kijijini ambaye akiumwa anakuomba kuja mjini kuja kutibiwa
 
Kama mutafuta vyama vyenu vinavyo unda ukawa na kuunda chama kimoja.
Na kama mutasimamisha mtu makini msafi ktk ngazi zote za ugombea hasa nafasi ya urais basi mwaka 2020 munaweza kupata zaidi ya wabunge nahata kushinda ktk nafasi ya urais.
 
Hiki kitu hiki ndicho chanzo cha ubabe wa CCM.

Sheria nyingi zinahitaji at least theluthi mbili. Hii ni sawa na wabunge 176.

UKAWA tungejitahidi kupata angalau wabunge 88.

Tutarajie wabunge wa upinzani kuendelea kufukuzwa bungeni na zile 'ndiyooooooo' za CCM.

UKAWA inabidi tujiimarishe huku chini kwenye wabunge. Bunge ndilo kila kitu!

Nimesikitishwa sana na hili.
Kuna jamaa alishushaga nondo hapa kiwa ukawa wawekeze sana ktk ubunge akisema urais bado, akatukanwa tukanwa humu kuwa hana ambitions, leo kumbe alikuwa sahihi 1000%.
 
Hiki kitu hiki ndicho chanzo cha ubabe wa CCM.

Sheria nyingi zinahitaji at least theluthi mbili. Hii ni sawa na wabunge 176.

UKAWA tungejitahidi kupata angalau wabunge 88.

Tutarajie wabunge wa upinzani kuendelea kufukuzwa bungeni na zile 'ndiyooooooo' za CCM.

UKAWA inabidi tujiimarishe huku chini kwenye wabunge. Bunge ndilo kila kitu!

Nimesikitishwa sana na hili.

Bunge halina kitu mbele ya serikali...mifano mimi na wewe tunayo.
 
Tumerudi kwenye kalenda ya BC ambapo miaka inahesabika kinyumenyume?

Kuhusu mbinu, ni kweli CCM wanazo mbinu nyingi sana tena ovu...inabidi kulijua hilo, lakini kidogo kidogo Upinzani inabidi wajitahidi kupambana nao...

Kivipi? sijui.

Mlimchukua Matson Chiizii kwa ajili ya kuboresha mbinuzenu Ovu...vipi hamkufanikiwa??
 
Back
Top Bottom