Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,608
Reaction score
15,014
Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa.

Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni ambazo ndizo zimetuletea umasikini mkubwa kwenye nchi hazina mvuto. Wengi wana support kwasababu hawamtaki Mama Samia lakini huwezi kusema anayosema ni kwamba manufaa ya taifa! .

Kama anataka watanzania wampe support inabidi aongelee mambo ya kitaifa kama mwenzake Gwajima bila hivyo atabaki na washabiki na machawa waliokatwa kwenye chaguzi na wale waliokosa vyeo na hawatapata huruma. No body cares about CCM traditional 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…