Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,494
- 18,260
Cheat akujue upate talaka yakoKoh koh procedure za kuomba talaka ni zipi teh
Cheat akujue upate talaka yakoKoh koh procedure za kuomba talaka ni zipi teh
Hivi kucheat tu ndo sababu ya kuachwa!!!Cheat akujue upate talaka yako
Kwangu mimi mwanamke akicheat namtema na wanaume wengi tupo hivyo japo sio woteHivi kucheat tu ndo sababu ya kuachwa!!!
Haiwezekani
Pole, wanaume wa mtandaoni kweli mpo hivo ila wa mtaani tunaoonana face to face wapo tofautiKwangu mimi mwanamke akicheat namtema na wanaume wengi tupo hivyo japo sio wote
Hahahaaaa wewe sema wanaume wako ndiyo hawawezi kukuacha ukicheatPole, wanaume wa mtandaoni kweli mpo hivo ila wa mtaani tunaoonana face to face wapo tofauti
Wanaume wengi hawaachi ukitaka hata mifano kumi nitakuinbox nikwambie.Hahahaaaa wewe sema wanaume wako ndiyo hawawezi kukuacha ukicheat
Sawa cowgirlWanaume wengi hawaachi ukitaka hata mifano kumi nitakuinbox nikwambie.
Hata mi binafsi hubby kunicheat itakua ni sababu ya 100 kumuacha 99 ndo za muhimu