Tatizo nyota...

Tatizo nyota...

Wakuu natumai nyote mko wazima kabsa...
Kwenye mada moja kwa moja

Me kwakweli elimu hii ya unajimu sio kiivo ila naijuamo
Kuna watu wengi mnapitia struggles mbalimbali kwenye mahusiano mbalimbali lkn hujawahi tulia na mtu wa maana au mtu sahihi ili mulisongeshe gurudumu LA mapenzi
Sasa utakuta unampenda sana mtu lakini kutwa migogoro haiishi mala gubu ilimladi tafrani tupu
Katika mapenzi inabidi udate na mtu ambae nyota zenu zinaendana kwamfano Mimi nyota yangu ni ng'ombe(Taurus) Mimi kutokana na nyota yangu hiyo kuna watu nikiwa nao kwenye mahusiano yanakwenda smooth kabisa hasa Taurus wwnzangu,Capricorn, na Virgo izo ndo nyota ambazo nikiwa na mwanaume wa kundi hilo aaaah sitalia ata sikumoja

Ila niliwahi kudate na Gemini aiseee ni watu walio wahi niumiza hakuna mfano nakaa nao mbali kabsa ....
Kwaio dear ladies and gentleman niwashauri kama unataka kuingia kwenye mahusiano yoyote Yale angalia mtu unae date nae je nyota zenu zinaendana ??? Ndomana watu hamuishi kulizwa adi kukata tamaa kumbe mnaforce lkn nyota zenu haziendani ...
Ebu nikupe zoezi dogo tu muulize mwenzi wako tarehe na mwezi alio zaliwa zen check zodiac sign yake na yako kama vinaendana na kama haviendani basi hujachelewa chukua uamuzi fasta ....
Si mnajua mapenzi venye yana nguvu binafsi namshukuru Mungu mwanaume nilie nae ni Taurus (ng'ombe) mwwnzangu so issa perfect match.....
Goodluck pal...
unapoambiwa una nyota ya ng'ombe,je!inamaana ww huna tofauti na huyo mnyama?!

Huwa mm siamini,vitu vya ajabu ajabu namna hii
 
Am a Virgo too
 
Wanaume wa Virgo nakaa nao mbali mnatesa sana kwenye mahusiano nyie mnafaa muoane Virgo kwa Virgo....
Virgo hatuna tabia za ajabu ajabu ukishindwana na virgo men tatizo utakuwa ni wewe siyo Virgo men
 
Back
Top Bottom