Tatizo nini Simu yangu ipo busy muda wote ?

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
Kuna rafiki kaniomba niwaombe msaada wanajamvi wezangu yeye anatumia simu aina ya techno anasema watu wanaompigia wanamwambia simu yake ipo busy kwa maana simu yake ipo bize mda wote je tatizo ni nin ?

Msaada unahitajika.
 
kuna rafiki kaniomba niwaombe msaada wanajamvi wezangu yeye anatumia simu aina ya techno anasema watu wanaompigia wanamwambia simu yake ipo busy kwa maana simu yake ipo bize mda wote je tatizo ni nin???msaada unahitajika

kaifanya au kaiset mwenyewe iwe busy mda wote.

kwani anatumia techno aina gani
 
Guys najua this is not the place to ask this but can anyone tell me how to make a new post in jamii forum. I can't seem to find any option for it
 
mi nafikiri kaziweka hizo namba kwenye blacklist..suluhisho akazifute hizo namba atakazoziona kwenye blacklist
 
Guys najua this is not the place to ask this but can anyone tell me how to make a new post in jamii forum. I can't seem to find any option for it

attachment.php


Fungua jukwaa unalotaka kuweka mada(thread) na ubonyeze kitufe kilichoandikwa 'Post New Topic'(pichani). Utaandika kichwa cha mada yako na maudhui yake baada ya hapo unaiwasilisha.
 

Attachments

  • POST NEW TOPIC.png
    POST NEW TOPIC.png
    24.2 KB · Views: 157

Similar Discussions

Back
Top Bottom