Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Usiseme wanaume tu ata wanawake mahanisi wapo wengi tu,.... Ni tatizo la kimaumbile ya hormones au matatizo ya utotoni pia miyonzi hatarishi kwa mama mjamzito inaleteleza hili...inasemekana ata uvutaji wa sigara unaweza leta hili japo halijathibitishwa kuhasilia
Hebu fafanua hili kwa wanawake ! Je k' huwa haifunguki ama? Maana kwa wanaume twajua inakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ah mie km nimempenda haina shida dudu wala sijali shoga !kweli tena ! hao watt tutaadopt ! mie naweza na sitamcheat hata nukta sema akinitibuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Acha kudanganya watu Mbiti,kinachounganisha mapenzi ya mwanamke na mwanaume ni ushiriki mkamilifu wa tendo la ndoa binafsi nimelikosa kwa miezi 6 nimekua na Mawazo mpaka nimekonda sikia hivyo hivyo ndugu yangu labda kwa kua umekili kua utachepuka kitu ambacho kina toa tafsiri kamili kua hitoweza kuvumilia

LadyAJ mie nnajijua !yaan mie nikipenda ukweli hata men anitongoze huwa nahis ni mwanamke simuon kunivutia !hahaha miez 6 unakonda ?hahahahahah we sio mhenga !mie nimekaaga 2yrs bila dudu mume alikuwa masomon sijawah hata kwenda sijui grocery ninywe hata wine! najua namananisha !inakera pale unapompenda mtu kumbe nyuma linakuchora tu ! huyo unamfanyia revenge safi ya kufa mtu akae sawa akuheshim ! yaan wewe ishia hapo hapo !miez 6 miduchuz !pole !sasahv utachanaaaaaa heheheh! mnara full 24/7

mie ukinikera na nikakereka huwa lazima nirevenge moyo utulie !naanza upya !lol
 
Hapana mtu kama hawezi kuchepuka hata akikosewaje hawezi chepukaa,,usitudanganyee
 
Hebu fafanua hili kwa wanawake ! Je k' huwa haifunguki ama? Maana kwa wanaume twajua inakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
1537940561_732cc3555c.jpg
 
LadyAJ mie nnajijua !yaan mie nikipenda ukweli hata men anitongoze huwa nahis ni mwanamke simuon kunivutia !hahaha miez 6 unakonda ?hahahahahah we sio mhenga !mie nimekaaga 2yrs bila dudu mume alikuwa masomon sijawah hata kwenda sijui grocery ninywe hata wine! najua namananisha !inakera pale unapompenda mtu kumbe nyuma linakuchora tu ! huyo unamfanyia revenge safi ya kufa mtu akae sawa akuheshim ! yaan wewe ishia hapo hapo !miez 6 miduchuz !pole !sasahv utachanaaaaaa heheheh! mnara full 24/7

mie ukinikera na nikakereka huwa lazima nirevenge moyo utulie !naanza upya !lol
Mwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom