iddy eba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 573
- 1,171
Kum-wish rafki yako cku ya birthday yake sio tatizo, tatizo ni pale unapomwambia "uishi miaka buku" au "uishi miaka miaka mingi kama no za vocha" as if we ndo mtoa roho alaf ndo umempa ofa ya miaka mengne ya kuishi my dear, em kuwa siriaz kdgo, yan acha kuingilia kaz ya mungu
[HASHTAG]#HappenOnlyInTZ[/HASHTAG]
[HASHTAG]#HappenOnlyInTZ[/HASHTAG]