Tatizo ni wewe Vin Diesel

he he he, uanataka kunharibia kama sweetlady.

Mie akija mida yake ya kuja ikikaribia tu huyoo naenda kuoga, uturi na udi, naandaa mzosi.

Akifika ni kupewa maji ya kuoga anakula, nambeba kidogo kabla ya kumpa 'desert' ya mtu.

Chezeiya Konnie wewe

Hivi Kongosho mumeo ni nani? Bishanga au Asprin au umekuwa single?
Nataka uje na shemeji hapa
Mwite na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
he he he, uanataka kunharibia kama sweetlady.

Mie akija mida yake ya kuja ikikaribia tu huyoo naenda kuoga, uturi na udi, naandaa mzosi.

Akifika ni kupewa maji ya kuoga anakula, nambeba kidogo kabla ya kumpa 'desert' ya mtu.

Chezeiya Konnie wewe
Hujajibu swali Kongosho
Maelezo mengi hujaulizwa..jibu ni nani kati ya hao? The Boss au
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…