Tatizo ni simu au sim card?

Tatizo ni simu au sim card?

Ludanha

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
552
Reaction score
647
Nilikuwa natumia lumia 625(4G) na sim card ya tigo ya 4G ila kwa sasa nimepata tecno c8 lakini nikiiweka hii laini ya tigo inasoma ila shida ipo kwenye network yakupiga simu ndio shida kila Mara inapotea hasa sifahamu tatizo in simu au in hii sim card niliyonayo? Kwa anayefahamu tafadhali tusaidiane.
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Kabadilishe simcard
 
jaribu kuangalia network selection,test kuweka network moja moja ,mfano kama ulichagua auto basi chagua either single 2G au single 3G ,then jaribu kama moja wapo ndo itakayokubali bila shida basi ujue issue ni ya network katka sehemu husika,na wala si simcard au simu
 
Nilikuwa natumia lumia 625(4G) na sim card ya tigo ya 4G ila kwa sasa nimepata tecno c8 lakini nikiiweka hii laini ya tigo inasoma ila shida ipo kwenye network yakupiga simu ndio shida kila Mara inapotea hasa sifahamu tatizo in simu au in hii sim card niliyonayo? Kwa anayefahamu tafadhali tusaidiane.
NATANGULIZA SHUKRANI
weka sim card nyingine utapata jibu zuri
 
Back
Top Bottom