Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,618
Sina namna mkuu kwa hayo macho lazima nicheke hata kama n msibanišUsicheke mkuu, tumepoteza mguvu ya taifa hapa..š¤£
Sina namna mkuu kwa hayo macho lazima nicheke hata kama n msibanišUsicheke mkuu, tumepoteza mguvu ya taifa hapa..š¤£
Machine ndio inaandika yenyewe au anaandika Mtu, yaani idadi ya Puss cells inaandikwa kwa machine au ni mtaalamu ndio ana analys kupitia kifaa kisha anaandika iwe kwa mkono ama kwa ku type kwenye computer??Epukeni kuandikiwa vipimo bila kupata copy iliyotoka katika machine. Mara nyingi tunadanganywa
Ulipewa hiyo sipro ili utibu ugonjwa gani?Mkuu nilipewa sipro na doctor alishindwa kujua ugonjwa
Kwahiyo hukuambiwa sababu za kupewa sipro?? Na je, uliimeza/uliinywa hiyo sipro??Hapo sasa
Hii karatasi umeokota? Kama umepata hospital kwanini hujauliza?Naomba kufahamishwa
Mimi hua sichukui dawa kabisa mpk nikaulize ugonjwa wenyew kwa wataalamMtu kaandikiwa majibu ya vipimo kama ki memo cha uchumba na hajui kaandikiwa nini na dawa kapewa na ameondoka tu.
Hapa nimepata majibu ni kwa nini, RBC Ipo juu,,
- MRDT - Negative
- MRDT stands for Malaria Rapid Diagnostic Test.
- A negative result means no malaria parasites were detected in the blood.
- Urine WBC: 2ā5 / HPF
- WBC = White Blood Cells
- HPF = High Power Field (microscope view)
- 2ā5 WBC/HPF is mild and may be normal or suggest a mild urinary tract irritation or early infection.
- Urine RBC: 80ā85 / HPF
- RBC = Red Blood Cells
- This is a very high number of red blood cells in the urine, indicating hematuria (blood in the urine).
- This finding is not normal and should be investigated.
Possible Causes of High RBC in Urine (Hematuria):
- Urinary tract infection (UTI)
- Kidney stones
- Bladder or kidney infection
- Glomerulonephritis (kidney inflammation)
siyo kila kituo cha afya/zahanati/hospitali kina Automated urinalysis machines inayotoa printout, vipimo vingi majibu yanasomwa/tafsiriwa na kuandikwa kwa mkono, kazi nyingi zinaandikwa notisi kwa mkono, ni ngumu ku automate kila process. lakini mwisho wa siku hizo kazi anayefanya ni binadamu kwa nini uiamini mashine kuliko nbinadamu anayeoperate hizo gadgets?Machine ndio inaandika yenyewe au anaandika Mtu, yaani idadi ya Puss cells inaandikwa kwa machine au ni mtaalamu ndio ana analys kupitia kifaa kisha anaandika iwe kwa mkono ama kwa ku type kwenye computer??