Kumbuka Samia alinywea kwa hotuba ya Mbowe wamasai wamepewa haki yao! Pia kumbuka Samia kakiri ushujaa wa Tundu Lissu na kumlinganisha na simba mfalme wa nyika!kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
shujaa na simba hawatafika 2025 wakiwa wamoja ndani ya Chadema, na kwahali ilivyo inaweza kutokea mapema zaidi pia, hii ya kufunikana kwa trending mitandaoni soon itakua real physically kupitia wafuasi wao πKumbuka Samia alinywea kwa hotuba ya Mbowe wamasai wamepewa haki yao! Pia kumbuka Samia kakiri ushujaa wa Tundu Lissu na kumlinganisha na simba mfalme wa nyika!
Kwa hiyo kaa kwa kutulia Mbowe na Tundu Lissu ndiyo mashujaa wa siasa za Tanzania!
zingatia maelezo ya msingi kwenye hoja mezani, Lakini pia zingine maelezo ya reply kadhaa hapo juu..Okay,
Ndo utueleze sasa juu ya mustakabali wa ustawi wa demokrasia ndani ya sisiemu, ukirejea jinsi Job alivyoponzwa na kutoa maoni yake, Membe (Rip) alivyoponzwa na kuonesha nia ya kugombea
Ingependeza kama ungewaita maprofesa wa siasa Tanzania!π€ π€π€shujaa na simba hawatafika 2025 wakiwa wamoja ndani ya Chadema, na kwahali ilivyo inaweza kutokea mapema zaidi pia, hii ya kufunikana kwa trending mitandaoni soon itakua real physically kupitia wafuasi wao π
Nilipomsikia hapa,kulikoni hasa,
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu,nikiwa kwenye maombi hili jina lako limekuja ,upo ujumbe wako siwezi weka hapa na siwezi kuja inbox tafuta namna ya kuupata ,dokezo tenda yaliyo mema Mungu kaniagiza mengi juu yako ,nimekupa dokezo tukulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
π€£ umenifurahisha sana mtumishi kuachana na ushirikina na kuskiza vema wito wa sauti ya Mungu maishani mwako,Mkuu,nikiwa kwenye maombi hili jina lako limekuja ,upo ujumbe wako siwezi weka hapa na siwezi kuja inbox tafuta namna ya kuupata ,dokezo tenda yaliyo mema Mungu kaniagiza mengi juu yako ,nimekupa dokezo tu
Lumumba wamekuandikia ukapostkulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
nadhani mazingira ya kibiashara, kilimo, ufugaji na uafisa usafishaji ajira za kumwaga nje nje,Lumumba wamekuandikia ukapost
Hii Hali ya job less ni hatari
Matatizo ya ccm nayo umeuliza? Kwa nn Kinana alijiuzuru? Maana hakustaafu. Ya CUF je? NCCR?kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?π
Mungu Ibariki Tanzania
mimi ni mbobevu wa masuala haya kisiasa nchini,Matatizo ya ccm nayo umeuliza? Kwa nn Kinana alijiuzuru? Maana hakustaafu. Ya CUF je? NCCR?