Mkuu nani alisema atanunua ndege ni Mpango au Magu?. Hazina wamelipia baada ya amri ya mkuluu. Mpango hawezi pinga kwa Mr. Haambiliki. Cabinet la mtu mmoja.
Mkuu ndipo ufahamu wake ulipoishiaKwani waziri wa elimi ndio anatoa hizo fedha?
Mkuregenzi kapewa hizo fedha alafu kakataa kuzitoa au??.....ebu fanya utafiti shida iko wapi kabla ujabebesha watu mizigo ya lawama.
Batch imetoka hadi ya sita mkuu sema sasa hayo majinaWengi wamepostpone mana hata hiyo second natch haijatoka kwa vyuo vingi mpaka sasa. Vile vilivoonekana vinaweza paza sauti ndio vimepata.
Yes.. tatizo ni bajeti iliyopo.Tatizo si bodi wala wizara! Tatizo nadhani liko juu ya wote hao! Na bodi ni mbuzi tu wa kafara!