Tatizo mwanao anachonga saana

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
mtoto mmoja alikua anasoma shule tunazoziita international school,baada muhula kwisha mtoto alipewa ripoti y a kitaaluma awapelekee wazaz,kwa bahati nzur mzaz aliekuwepo nyumban alikua baba pekee,baada ya kuisoma ripoti baba alifurahishwa sana na maendeleeo ya binti yake kitaaluma kwan alipata alama 'A' masomo yote lakin mwisho wa ripoti mwl alitoa maoni yake kuwa 'mwanao maendeleo yake kitaaluma ni mazuri sana ila anachonga sana akiwa shuleni ila nimemtafutia dawa,mzazi baada ya kusoma maoni ya mwl akamtumia mwl ujumbe kua anaomba sana iyo dawa ikifanya kazi naye ampe MKEWE..
 
haaa kumbe wenye fyoko wapo wengi namm kuna best yangu vuvuzela naomba dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…