Siyo "moderm" ni modem (modulator-demodulator).
Inazima computer au modem?
Jinsi ulivyoelezea naona njia rahisi ya kujuwa tatizo ni nini, ni kuiweka hiyo modem kwenye computer nyingine, ikiwa bado inazima utakuwa umepata jibu na ikiwa haizimi pia utakuwa umepata jibu.