Tatizo lolote la PC/device

wakuu ivi naweza kuingia whatasapp kupitia PC bila kutumia whatasapp web
 
Wakuu sijui pc yangu nimeibonyeza wapi maana nikiiwasha inadisplay NO BOOTABLE DEBICE, HIT ANY KEY. Nikihit enter inaleta
1. HDD: HGST HTS725032A7E630
2. NETWORK BOOT: BRCM MBA Slot 0400 v15.0.11
Naombeni msaada jinsi ya kulitatua tatizo hili
 
Jamani nikiplay video kwa kutumia app ya VLC kwenye pc yangu aina ya dell inascratch ila audio muda huo inakuwa inapiga vizuri tu tatizo ni nini?

Kama tatizo limetokana na kubadili au kuweka Windows mpya basi njia ni ya kufanya ni hii hapa;

Hapo ishu kubwa ni video ipo outdated, cha kufanya ingia Kwenye website ya dell andika aina ya dell yako kisha zitakuja Drivers zake zote,

Ila kama video inascratch yenyew na Drivers zako zote zipo updates kuna possibility ya hiyo video kuwa kubwa kuliko ukubwa wa pc yako mfano kuna video za high definition zilizozid 720 pixels, uwa zinascratch Kwenye pc ambazo resolution ndogo na mostly ni zile pc za zaman like bellow 2000’s.
 
Tatizo sio Windows, kumwaga wino kwa kioo ni tatizo la hardware ambalo lipo kwenye kioo cha pc yako inawezekana vioo wanavyokuwekea sio vizur au ni ww matumizi yako, kwaiyo kama unapenda kuendelea na pc yako kuna mawili angalia tatizo la pc yako ni lipo kwenye matumiz au kwa mafundi ili unapoenda kubadilisha kioo tena usije ukarudia tena kugharamikia
 
Wakuu sijui pc yangu nimeibonyeza wapi maana nikiiwasha inadisplay NO BOOTABLE DEBICE, HIT ANY KEY. Nikihit enter inaleta
1. HDD: HGST HTS725032A7E630
2. NETWORK BOOT: BRCM MBA Slot 0400 v15.0.11
Naombeni msaada jinsi ya kulitatua tatizo hili

Swali,
Yakishatokea majibu hayo inawaka au aiwak?

Je ni aina gani ya pc?
 
Tatizo la kompyuta kuwaka na kwenda kwenye window loading mpaka kurepair computer inamaliza mpaka finish lkn tatizo linakuwa pale pale , nifanyeje ili nifanikiwa
 
Tatizo la kompyuta kuwaka na kwenda kwenye window loading mpaka kurepair computer inamaliza mpaka finish lkn tatizo linakuwa pale pale , nifanyeje ili nifanikiwa

Tatizo liko pale pale) lipi ilo tatizo?
 
Samahani mkuu naomba maelezo jinsi ya kushusha window na ku install window mpya, kama umejibu swali la namna hiyo naomba uni link,
Laptop- Compaq 6515b, nina window 8.1 Pro nataka kuweka window 10.
 
Samahani mkuu naomba maelezo jinsi ya kushusha window na ku install window mpya, kama umejibu swali la namna hiyo naomba uni link,
Laptop- Compaq 6515b, nina window 8.1 Pro nataka kuweka window 10.

Tatizo la pc kila napo connect na internet browser zinafinguka na kuanza kufungua website kama zote nali sove vp na linatokana na nn ?
 
Hii issue imenisumbua sana
 
Computer yangu inaandika Hard drive not installed!!
Kwann mkuu?
 
Nna pc nikiplug tu adapter kwenye port ya power inawaka na kuzima continously....tatizo litakua nini
 
Tatizo la pc kila napo connect na internet browser zinafinguka na kuanza kufungua website kama zote nali sove vp na linatokana na nn ?
Hapo kuna malware either kwenye browser yenyewe ama kwenye pc options kama tatu zakufanya kama pc yako huwa ina create restore points then unaweza restore to the point ilikua inafanya kazi vizuri hii inaokoa sana time yakuangusha windows,2. Unaweza tafuta antivirus nzuri whether cracked or genuine ikachomoa huyo mdudu, 3. Unstall browser then install tena japo hii siyo sana kuleta mabadiriko.4 angusha windows
 
Nina pc yangu hp inatatzo la kuzima zima ovyo kwa kigezo cha kuovercome heating lakini mimi spendi izime kutokana na nature ya kazi yangu nayofanyia nini tatizo(n.b setting zote za sleeping ziko sawa)
 
Pc yangu aina ya dell ukitikisa stand(meza)ambayo nimewekea basi inazima nini tatzo pia tatzo la kuleta mawimbi mawimbi kwenye screen nini tatzo
 
Wakuu msaada kama Pc yangu processor ni intel celeron na ram ya 2 gb naweza change Ram iwe 4 Gb
 
mkuu pirate kuna swali moja watu walielezea sana kuhusiana na pc kuzima ghafla na baadae display kutoonesha chochote ila taa za kwenye keybord kuwaka na kuzima kama indicator hili tatizo limekumba pc yangu nilikuwa naitumia vizuri sana ikazima tu ghafla.
Now nikiiwasha tu feni inazunguka sana afu taa za kweny keybody zinawaka na kuzima karibia saa nzima ni hvyo hivyo nimejaribu kutoa betri na kuwasha bila betri lakni bado nikachomoa ram na kuwasha bila ram iko vile vile nifanyejena tatiz ni nini? Ni hp elitebook
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…