keyboard ipo hivi
View attachment 1118917
Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out"
Ikifikia hatua hii siwezi kufanya chochote hadi nifute baadhi ya vitu kwa ajili ya kuongeza nafasi kwenye internal storage hapo ndipo naweza kupiga simu, kutuma SMS na kufanaya mambo mengine
.
.
NB: tatizo hili halitokani na Mimi kudownload vitu kwani linatokea automatically hata kama situmii simu lakin kuna mda unafika unakuta internal storage inapungua kwa kasi!
Nini kinasababisha hili??! Na ni namna gani naweza kutatua hili tatizo?!! Msaada tafadhali
Asante mkuu kwa ushauriKwa sababu ni tecno na hiyo ndo michezo yake solution nunu cm nyingine isiyoitwa tecno
Punguza matumizi yani usiwe na mambo mengi coz uwezo wake c wa mambo mengiMimi nina samsung note 1 nzito sana hata nikireset bado inakuwa nzito yani slow sana nifanyeje au nika flash
Ilo jambo la kawaida sana kwa tecno hata ivo imekaa mda mrefu sana na apo solution ni kubadili injini na kuweka nyingine na pakuipata ni kariakooTecno boom j8 iliacha kufanya kazi yenyewe tu baada ya kuitumia kwa miaka mitatu just inawaka tu hai display chochote, nimeenda kuitia file (kuflash) lakini imegoma kabisa, tatizo nini mkuu, au pia kama naweza pata engine yake tuongee biashara
Kabisa mkuu, vipi bei zake na kama una contact zozote unisaidie, kariakoo sehemu gani maduka ya simu au kwa wale mafundiIlo jambo la kawaida sana kwa tecno hata ivo imekaa mda mrefu sana na apo solution ni kubadili injini na kuweka nyingine na pakuipata ni kariakoo
Kuna mtu amedesign app ya aina hii. Nipm nikuunganishe nayeAPP gan nzurii sanaaa, nawezatumia kuMonitor mauzo, stock, faida na hasara?!?
Mkuu, ebu nisaidie.
Nina laptop, Dell Latitude D.830, ina tatizo. Mara ya kwanza ilizima nikaipeleka kwa fundi ikawaka.
Baada ya miezi miwili ikaanza kumwaga wino ktk display nzima. Nilipoizima, ikagoma kuwaka japo niki press start button ina click mara mbili kuashiria imewaka lkn no display. Fundi mwingine akatengeneza ikawaka, nimekaa kidogo ikamwaga rangi tena.
Fundi anadai kuwa kuna tatizo ktk OS au Windows ime crashi. Actually, I don't believe in him.
Please help, tatizo ni nini?
Natamani niitupe! Nimetumia pesa nyingi kuitengeneza.
Jamani nikiplay video kwa kutumia app ya VLC kwenye pc yangu aina ya dell inascratch ila audio muda huo inakuwa inapiga vizuri tu tatizo ni nini?
Asante mkuu migrah!Kwa hilo tatizo haliwezi kua OS wala WINDOWS ni hardware parts mkuu