Pc aina ya HP elitebook. Ukichomeka kwenye moto inatulia tu kwenye 1% siku nyingine inaniandikia NO BATERRY DETECTED shida itakuwa nn maana nilijaribu kubadili batterry na chaja lkn shida bado ipo pale pale
Kama kuna mafundi wa hardware mwanza ijitokeze
Mkuu nimefatilia link zote ulizompa jamaa ili na mimi nisolve tatzo (kuactivate), nimedisable real time protection ya window defender (sina antivirus nyingine yoyote) ila link zote hazijaleta matunda
Tafuta vga cable ya desktop connect hiyo laptop na monitor/screen yoyote , then washa laptop kama itaonesha kwenye monitor/screen basi kioo cha laptop kinamatatizo but kama haitaonesha chochote basi display ya hiyo laptop inamatatizo. NB: Jaribu pia kubadilisha RAM nyingine.
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya