Tatizo lililonikuta Christmass (Nimechelewa kufika kileleni)

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari wapendwa bila kupoteza mda niende moj kwa moja kwenye mada wakuu.

Jana tarehe 25 ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza ku do sex, sikuwai katika maisha yangu ila yaliyonikuta yamenifanya nijiskie vibaya..

Iko hivi nimeenda na mtu wangu ambaye alinisumbua kwa muda mrefu kunipa tunda na ni ndo mpenzi wangu wa kwanza tangu nianze kujitambua .wengne wote walikuwa ni utoto. Jana alikubali kunipa tunda ila akahitani nitumie (condom) ila chaajabu wakat na DO nilikuwa naona condom inanibana na nikajikuta nimetumia takriban 30minutes na hata dalili ya la kwanza bado maana nilikuwa najikuta rungu liko hot ila radha naona siskii mpaka partner wangu akasema amechoka na mchezo ukawa umeishia hapo huku wazungu wangu nikiwa bado sijawaona.

Nilihuzunika sanaa asee. Nikajihisi nina matatzo makubwa wakuu maana baadae nikakuta korodani zinaniuma.

Maswali ninayojiuliza.

1. Je, Kondom ndo ilipelekea nichelewe kumaliza na kutosikia radh?

2. Je, Kwa sabb ndo mar yngu ya kwanza?

3. Je, ni effect ya kujichua..maana nina experience ya 6 yrs kweny huo mchezo ila siko addicted sana ..huwa almost ni 5-6 times per month kwa kpnd chote hcho..

4. Je, Ni psychological problem maana siku tatu nyuma kabl ya tendo nidhan kwamba nitatumia mda mchache kwent tendo sabb ndo mar ya kwanza, na ni mwanachama wa chaputa..maana naonaga wansemaga kwamb chaputa inaweza pelekea kutumia almost 3min kweny game kisha mchezo ukaishia hapo.

NAOMBENI MSAADA WAPENDWA MAANA KICHWA CHANGU KINAWAZA VNGI CJUI TATZO LITAKUWA LINATOKEA UPANDE GANI.

NAWAPENDA SANA WANA J-FORUM, MERRY CHRISMAS AND HAPPY NEW YEAR
 
Performance yako na Climax yako

Inategemea na Aina ya mwanamke unaekutana nae.

Kama mwanamke mwenyewe Hana hamsha hamsha,

Au
ulivotegemea kumkuta Ni tofauti na alivyo.

Mfano: Umkute na stiglaz Goji megawati 2100

Utakijukuta unajihis unasex na Gunzi la muhindi.

Bao utalitafuta kwa tochi na utam hutoupata..
 
hadithi yko ni kama yngu me pia ilikua ivo mara ya kwanza na sex ilinichukua lisaa hivi lkn wapi mpk nikawa na hofu kuwa na matatizo before sija sex ilikua ni fuul nyeto kwa mbele cku huyo demu alinizushia eti nimetumia madawa

Hilo ni jambo la kawaida tena hizo ndo nguvu zenyewe.
 
Back
Top Bottom