Usijilaani mwenyewe,muda wako ukifika utaitwa na kupata kazi.tangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawah kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta,
wajuz wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nin apo?
nakosea kutuma au huwa hazifiki?
mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na me me nika achwa solemba
ama kwel mikosi dunian ipo
Tangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawahi kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta.
Wajuzi wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nini apo nakosea kutuma au huwa hazifiki
Mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na me me nika achwa solemba
Ama kwelI mikosi duniani ipo
Sio kila anayetuma barua (ya maombi) ataitwa kwenye interview. Kumbuka watuma maombi wanaweza kuwa wengi sana kwa mwajiri kuweza kuwaita wote kwenye interview.Tangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawahi kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta.
Wajuzi wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nini apo nakosea kutuma au huwa hazifiki
Mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na me me nika achwa solemba
Ama kwelI mikosi duniani ipo
Mkuu akuna linaloshindika machoni kwa BWANA usikome kupeleka hitaji lako mikononi mwake ( Yer 33:3)Tangu mwaka jana ,nianze kutuma barua posta, sijawahi kuitwa interview hata moja kwa barua ninazo zituma kwa kutumia posta.
Wajuzi wa mambo naombe mnijuze tatizo litakuwa nini apo nakosea kutuma au huwa hazifiki
Mara ya mwisho tulituma mkono kwa mkono na rafiki yangu,yeye kaitwa interview na me me nika achwa solemba
Ama kwelI mikosi duniani ipo
haaaaaaaaaaaaaaaahhahahh so funπππMkuu unahitaji maombi!
Maana unaandamwa Na roho ya KUJIAJIRI MWENYEWE!!
Si kweli...barua zangu zote za kuomba kazinhuwa natumia njia ya kawaida na kila interview huwa sikosiKama unatuma kwa njia ya kawaida na si EMS, yawezekana barua zako hazifiki kabisa au zinafika baada ya muda wa deadline kuisha. Hivyo ni vyema ukatumia njia bora kama EMS au Kupeleka moja kwa moja. Vinginevyo subiri wakatik wako ukifika utapata
Mbona watu wanaomba wapone na wanakufa..mbona watu wanomba washinde na wanashindwa!!!Mkuu akuna linaloshindika machoni kwa BWANA usikome kupeleka hitaji lako mikononi mwake ( Yer 33:3)