bikra zinasumbua, tumeshazoea mabwawa ni rahisi kuvua samaki, radio sina, mapambio sijui, chumba changu hakina silingbody, unataka nijaze watu wanipeleke polisi kwa kubaka? mimi ntaoa mwanamke aliyeenda KM angalau kidogo si ambaye hajaenda kabisa.
Wew ya wapi hayo unayoyasema??
Sista, sijatamka kiwepesi..Toa sababu tano za msingi nione kama kweli maneno yako hujayatamka kiwepesi!!
niko hapa..........
kama na wewe bikra basi pole dear !!
Mtu anasema bikra sioi kwanza utampata wapi mwenye bikra?
Bikra sioi hata niambiwe napewa bure!!!
KM ndo nin mkuu??
kilomita wangu, si unajua papuchi na zenyewe zinasoma kilomita, ukiziona we utazijua tu, kuna zingine km 34670.
Hahahah.....uwiii asante kwa kunijuza....kwaio unataka iwe inasoma less than KM ngap
angalau km 900, chini ya hapo itakuwa pouwa.
Uuuh...kumbe bado naweza kuingia kwenye kinyang'anyiro chako...impressiv
teh teh teh teh ehh. iwuuuu, ngoja nije pm, halafu uje utoe ushuhuda. kumbe yako haijaenda km nyingi sana safi sana, ila angalia leo usije ongeza basi zitavuka.
Wapi wanapatikana hao!!!! mwaka wa kumi sasa still nipo naseach.
KM ndo nin mkuu??
kilometer... milage inasoma soma kidogo
Nimeuliza swali hili sababu ya jambo ambalo ameniambia mchumba wangu kuhusu rafiki yake aliyepotoze mahusiano yake sababu ni bikira. Kijana alimuomba rafiki yake wa sex. Binti alimuambia kwamba yawapasa wasubiri mpaka usiku wa harusi yao. Jambo lakushangaza kijana akamwambia awezi kumuoa bikira.
Je ni kosa kwa wasichana kujichunga wao wenyewe mpaka siku ya ndoa?
Lipi la Maana? Kumuoa msichana ambaye amejichunga na kutoshiriki tendo la ndoa au kumuoa msichana ambaye amefanya mapenzi na wanaume tofauti?
Angalizo, Sijasema ni lazima kuoa bikira, ila ni mwanamke sahihi kwa wewe. Ametokea ni bikira, utamkataa kwa sababu hiyo?