Tatizo letu sio Magufuli

chikub

Senior Member
Oct 15, 2015
110
28
Magufuli sio tatizo kwa wapiga kura, tatizo ni watu wameichoka CCM. CCM inageuka kuwa chama cha watoto wa viongozi wa CCM hata kama watoto hao hawana sifa ya kuwa viongozi. Kwa hali hiyo hakuna mkemeaji wa mwingine maana chama ni mali ya wazazi wao.
 
Ila nadhani watanzani ni wa kupimwa akili, pamoja na matusi, dharau na ujinga ujinga wote wa ccm wao wapo nayo tu. Hii ni aibu na laana.
 
Acha upumbavu huo, huna hoja ya msingi, kama muda wote upo kwenye jf kwa kutunga uongo, ni lini hiyo kazi ya uongozi utaifanya tofauti na kuwa mpambe? kwa hiyo wagombea ubunge wote ni watoto viongozi? nani kakuzuia kugombea hizo nafasi.
 
tulia unyolewe, maccm yote yanafanana katika kuwaza, hamaki na matusi.
 
Acha upumbavu huo, huna hoja ya msingi, kama muda wote upo kwenye jf kwa kutunga uongo, ni lini hiyo kazi ya uongozi utaifanya tofauti na kuwa mpambe? kwa hiyo wagombea ubunge wote ni watoto viongozi? nani kakuzuia kugombea hizo nafasi.
Acha ujinga wewe chukua penseli na karatasi tuanze kuwahesabu watoto wa viongozi wa ccm ndani ya ccm Tanganyika na zanzibar. Kwani hili ni Taifa la kifalume? mbona Nyerere hakufanya hivyo?
 
Kumbe Kikwete alikuwa anafahamu kama Lowasa ni fisadi mbona alimuombea kura Munduli? na Pombe hilo analijua kwa nini asianzane kwanza na Kikwete aliyewalea Mafisadi? kwa kweli watakaoichagua ccm watakuwa na matatizo ya Akili
 
tatizo sio ukawa..ila ni kiongozi waliyemsimamisha kuwania uraisi
 
Ila nadhani watanzani ni wa kupimwa akili, pamoja na matusi, dharau na ujinga ujinga wote wa ccm wao wapo nayo tu. Hii ni aibu na laana.

Kusema ukweli mkuu mpaka hao CCM wenyewe wanawashangaa wafuasi wao.
Kiuhalisia wa mahali nchi ilipofika hivi sasa, ilitakiwa wawepo wenye CCM yao tu kwenye kila kampeni.
Anaongea Konyagi (Pombe),Kikwete, Nape, Mwigulu, na Kinana wao wasikilizaji.
Lakini wapi, watu wanajazana kuwasikiliza.
Wakitoka kwenye kampeni kurudi nyumbani, hawakuti umeme( umekatwa) maji hamna, wanalala kizani na bila ya kuoga.
Asubuhi wanaamka tena, umeme hamna maji hamna wanaunga tena tela kwenda kuwasikiliza waliosababisha hali hiyo.
Aisee!! Viongozi wa CCM lazima watakuwa wanawashangaa sana wafuasi wao.
Ipo haja watanzania kuingizwa kwenye kitabu Cha GUINESS. Hasa wafuasi wa CCM.
 
Wapimwe akili kwa kweli. Wanampigiaje kampeni mtu fisad aliyethibitishwa? Juzi Walikuwa wanamsema fisad mkuu. Ghafla eti sio fisad na watu wapo wapo tu wanakubali kila kitu
 
Kusema ukweli mkuu mpaka hao CCM wenyewe wanawashangaa wafuasi wao.
Kiuhalisia wa mahali nchi ilipofika hivi sasa, ilitakiwa wawepo wenye CCM yao tu kwenye kila kampeni.
Anaongea Konyagi (Pombe),Kikwete, Nape, Mwigulu, na Kinana wao wasikilizaji.
Lakini wapi, watu wanajazana kuwasikiliza.
Wakitoka kwenye kampeni kurudi nyumbani, hawakuti umeme( umekatwa) maji hamna, wanalala kizani na bila ya kuoga.
Asubuhi wanaamka tena, umeme hamna maji hamna wanaunga tena tela kwenda kuwasikiliza waliosababisha hali hiyo.
Aisee!! Viongozi wa CCM lazima watakuwa wanawashangaa sana wafuasi wao.
Ipo haja watanzania kuingizwa kwenye kitabu Cha GUINESS. Hasa wafuasi wa CCM.
Nakwambia mkuu. Ndo maana wanawatukana, wanafanya vituko majukwani, kikwete anateua watu mpaka leo, mpaka maswi, kateuliwa tena lakini watanzania wapo tu. Sijui kuna nini mkuu inashangaza mno
 
Hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka.(1) Usimjubu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana naye(3) Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake. Neno la MUNGU ninaye mwamini linatambua uwepo wa mpumbavu, linaagiza mpumbavu ajibiwe kulingana na mazingira. Naipenda,nitaitii na kuifuata Biblia Sikh zote za maisha yangu.
 
Magufuli sio tatizo kwa wapiga kura, tatizo ni watu wameichoka CCM. CCM inageuka kuwa chama cha watoto wa viongozi wa CCM hata kama watoto hao hawana sifa ya kuwa viongozi. Kwa hali hiyo hakuna mkemeaji wa mwingine maana chama ni mali ya wazazi wao.

Nimeupenda sana usemi wako. Tatizo sio Magufuli, ni CCM

Lakini mtaa wa pili je?

Tatizo sio UKAWA/CDM, ni mgombea wao!
 
Ila nadhani watanzani ni wa kupimwa akili, pamoja na matusi, dharau na ujinga ujinga wote wa ccm wao wapo nayo tu. Hii ni aibu na laana.

Mkuu kuna watz ni hollow Head yaani wapo wapo tu kama bendera wanafata upepo wamesahau kashfa zote na bado wanajibebisha chichiem
 
Na mm sidhani kama watu wameichagua CCM, ila wamemchagua Magufuli...maana hata yeye anajua hawampeleki ikulu kwasababu yeye ni CCM ila kwa sababu atafanya juu chini auondoe mfumo uliokuwepo! Kwann tusimpe nafasi mtu wa hivi..in case hatafanya hivyo basi, next time hatufanyi makosa.
Kuliko kung'ang'ania kumpeleka mtu Ikulu, ambae hana sifa kisa unataka CCM itoke madarakani! Utakua umefanya nn!? Nonsense!
#FanyaMaamuziMakini
 
Back
Top Bottom