Tatizo langu ni nini?


Kama hujajua tatizo lako ni nini unataka tukushauri nini? Mimi naona huna tatizo lolote, we kula maisha tu, ukae na demu miaka kwani mkeo? ukifikisha miaka 45 au 50 ndo ujaribu kutulia kidogo angalau ukae na demu miezi sita.
 

Nafikiri hapa pana ukweli fulani hivi.
Miaka ya nyuma niliwai kuwa na mpenzi ambaye tulikusudia kuwa mke na mme..wazazu wangu hawakutaka nimuoe yule binti kwa sababu kabila yaje na yangu ni tofaut.yule binti alipojua hayo akaolewa na mwanaume mwingine.japo alipenda sana kuishi nami.laknu baada ya hapo wote ninaowapata wazaz wangu hawajswai kuniingilua tena.maana sasa wako tayari nioe kabila yeyote.rangi yeyote na taifa lolote.lakini tatazo ni kama hilo nililowaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…