Tatizo la wingi wa damu

Tatizo la wingi wa damu

😀 nimekosa, nimekosa mimi!

nilichomaanisha ni kwamba pengine daktari wake kaona atafute namna kuelezea kwa lugha rahisi tu, maana vipimo vya damu daktari wake ndo aavijuua. Ni mbinu ya communication.

MaDaktari wa mchongo kama hao wapo wengi tu huko mitaani 😄😄,

Mwambie mgonjwa ukweli, hilo ndo jambo la msingi sana. Kama ana staphylococcus, Au ana meningoencephilitis mwambie msiogopwe kuulizwa maswali na wagonjwa. 😊😊
 
Natumai hamjambo nina tatizo la damu nyingi mwilini pia damu ni chafu naomba maelekezo nn cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia.

Ahsanteni
Ukiona jambo lolote katika mwili wako halina side effects ni vizuri kuachana nalo maana mwili wa binadamu ni kama pasi ya umeme.

Moto ukiwa mkali hujizima nakuacha moto wa wastani. Hivyo hivyo kwa binadamu damu ikiwa nyingi kiwango kinachohitajika kitabaki vilevile mwili utakavyo na, kichoongezeka pia kitakuwa kama access ya ziada ambayo vilevile itakutumika pale itakapokuwa na uhitaji wa ziada
 
MaDaktari wa mchongo kama hao wapo wengi tu huko mitaani 😄😄,

Mwambie mgonjwa ukweli, hilo ndo jambo la msingi sana. Kama ana staphylococcus, Au ana meningoencephilitis mwambie msiogopwe kuulizwa maswali na wagonjwa. 😊😊
Sawaa hivyo viwili umeandika ndiyo nini? elezea kwanza😅

Lakini si nasikiaga kitu kinaitwa mchafuko wa Damu sijui?
 
Sijui Ulipo
Arusha Kuna Maasai Mmoja Anauza Dawa Za Asili
Ana Juice Ya Kimaasai Inasafisha Damu, Uchovu, Malaria

Damu Nyingi Nenda Katoe Kituo Cha Damu Salama
 
Sawaa hivyo viwili umeandika ndiyo nini? elezea kwanza😅
Hivyo ni baadhi ya abnormalities na bakteria wanaopatikana kwenye mwili wa binadam mkuu.

Lakini si nasikiaga kitu kinaitwa mchafuko wa Damu sijui?
Epuka matapeli mkuu hakuna kitu kama hicho 😊😊.

MaDaktari wa mchongo Watakuja kukuambia hapa kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo na kushinda njaa.. 😄😄
 
So, daktari angesemaje? unataka atumie medical jargons kuongea na mteja mgonjwa? 🤔
Mkuu,kwa maelezo yake huyu ni kama vile hajaenda kwa daktari labda kama ametuficha vitu vingine. Kama daktari akijua damu yako imechafuliwa tuseme labda ina maambukizi lazima atakutajia dawa. Lakini OP ni kama vile anajua tatizo na hajui dawa kitu ambacho ni cha ajabu. Hata hapo kwenye damu kuwa nyingi hajatutajia amepima amekutwa damu iko ngapi,yeye kasema tu ni nyingi.
Binafsi nimemuuliza hivyo tu kwa sababu kwa uzoefu wangu wabongo wana tabia ya kujipatia magonjwa bila kupima,ndio maana niliuliza hivyo, sio kwamba ningemtajia dawa bali ni kumshauri aende kwenye matibabu.
 
Sijui Ulipo
Arusha Kuna Maasai Mmoja Anauza Dawa Za Asili
Ana Juice Ya Kimaasai Inasafisha Damu, Uchovu, Malaria

Damu Nyingi Nenda Katoe Kituo Cha Damu Salama
Mkuu, mtu anayeumwa au kujiskia vibaya kwa namna yoyote haruhusiwi kuchangia damu. Hata huko damu salama akienda atarudishwa. Hata ukiwa tu na uchovu wa kufanya kazi au kusafiri damu salama hawakuruhusu utoe damu,sembuse huyu anayedai ana mchafuko wa damu. Aende kwenye matibabu.
 
Aimwage Tu Mkuu
Damu Chafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom