COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,808
Usijali mkuu,hiyo Hali huisha na vitu hivyo hutavihisi na kupata tenaMkuu mimi huwa ninatatizo moja ambalo huwa lianinyima amani pindi likitokea(Ni la msimu)....
Usijali mkuu,hiyo Hali huisha na vitu hivyo hutavihisi na kupata tenaMkuu mimi huwa ninatatizo moja ambalo huwa lianinyima amani pindi likitokea(Ni la msimu)....
Ungemwambia tuu,isitoshe alikuwa mtu wako wa karibu sanaKuna mkaka nilimkosaga hivi hivi .sasa hivi kaoa, najiuliza kama mimi nilikuwa nakereka kukaa nae tu meza moja mkewe anawezaje kulala nae? Nawaza wanabusiana kweli? Akiongea harufu inayotoka kha!
Yule dada alifata pesa.ila mimi bora nimkose siwezi vumilia ike harufu kisa ndoa kha!
"harufu ya chombo cha moto"Kuna jamaa yeye ananuka kama grisi ya gari, hata akijipiga mipafyumu baada ya muda harufu ya chombo cha moto inarudi.
Naunga hoja mkono japo ilikua 2014Hasa wanawake wenye mawigi na kucha zile ndefu, wananuka midomo si mchezo
Kuna watu wanakula ma spice kama watu weupe?wahindi.wazungu etc..ila ni mara chache saana utaskia hao watu wanatoa haruf za ajab...ishu hyo ni usafi tu + kutumia deodorant na mswak....vzur...Vyakula spicy.
Mtu tangu chai ina spices, mboga, nyama inawekwa spices kibao. Ukitoa jasho linakuwa na harufu.
Dehydration pia. Inabidi unywe maji kwa wingi sana maana hata mdomo mkavu hutoa harufu.
Ila solution kubwa ni maji kwa wingi, nje na ndani.
Ukoko wa ugal tena..hii mpyaEndapo unahisi kunuka mdomo dawa Ni hiii,
1.Kila baada ya kuswaki chukua chumvi tia katika maji Kisha sukutua...
Wahindi jasho lao unalifahamu?Kuna watu wanakula ma spice kama watu weupe?wahindi.wazungu etc..ila ni mara chache saana utaskia hao watu wanatoa haruf za ajab...ishu hyo ni usafi tu + kutumia deodorant na mswak....vzur.
Et wazungu hawatumii spices!!!...Wahindi jasho lao unalifahamu?
Wazungu hawatumii spices. Wahindi na waafrika hasa wa magharibi majasho yao yana harufu mbaya sana.
From experience.
Cosmetics na junk foods
Trust me.Et wazungu hawatumii spices!!!...
Mkuu hiyo ni bonge la tiba.UsidharauUkoko wa ugal tena..hii mpya
Mkuu hili ndo tatizo na mimi nilikua hivyo nanuka mdomo lakini mswaki napiga ndipo rafiki yangu wa kweli alinichana live huyu jamaa nampenda mpaka kesho yan ukipiga ulimi mdomo haunukiiMnaswaki meno hamswaki ulimi kwanini midomo isitoe harufu?
Mkuu chukua hatua mwambie atakupenda sana watu hawasafishi ulimi hilo ndo tatizoKuna demu mmoja ni mkali anakalio kama lote ila ananuka mdomo sijui wenzake hawamwambii
Periodontal Decease. Nenda kwa daktari wa meno atoe ukoko huo.Mkuu mimi huwa ninatatizo moja ambalo huwa lianinyima amani pindi likitokea(Ni la msimu).
Kunawakati huwa natokwa na harufu kali sana maeneo ya kooni mpaka huwa naihisi kabisa kuwa ni harufu mbaya mnoo.Huwa najikakamua kama vile na kohoa ili kama kuna kitu kitoke lakin huwa inachukua muda..but sometimes huwa vinatoka vijipande vidogovidogo kama mabaki ya chakula vinanuuuuuukaaaaaa balaaa yani sijapata kuona.
Hii hali huwa inanitesa sana kwakweli.Naomba mwenye tiba ya hili tatizo anisaidie jamani.
😁😁😁😁😁Naunga hoja mkono japo ilikua 2014
Dah hili tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana kwa Wanaume na wanawake Tatizo litakuwa ni nini Unashindwa kutoa Service kwa mtu kwa jinsi anavyonuka kama beberu hii hali inakera na inaboa sana.
Pia kukaa muda mrefu bila kuongea, Lotion isiyo moisturizer,kuto kunywa maji ya kutosha hizo ni baadhi ya sababuNjaa huchangia pia mdomo Kutoa harufu.
Na harufu ya mtu mwenye njaa ni mbaya Sana.
Au ukute mtu "amefunga" halafu aje karibu Yako.. hiii