Tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana

Scientifically, human brain hupuuzia harufu inayotoka kwenye mwili na kutoa taarifa kua harufu hiyo haina madhara,so mtu anaweza akawa ananuka ila yeye muhusika asiihisi hiyo harufu mpaka watu waliokaribu nae watakapo mwambia kua unatoa harufu.

Mfano mtu anaweza akaambiwa "Shati lako linanuka" utaona analinusa shati hilo kwa pua,hii ina maanisha kua mtu huyo hakuihisi hiyo harufu uliyoihisi wewe.

Kuhusu kunuka mdomo,unaweza ukawa unapiga mswaki ila mara nyingi kunuka mdomo hua ni maradhi na harufu hiyo hutoka ndani ya mwili kwa kupitia mdomo,sio issue ya mdomo bali ni issue ya ndani ya mwili.

Pia harufu husababishwa na aina ya vyakula anavyokula muhusika.
 
Hasa wanawake wenye mawigi na kucha zile ndefu, wananuka midomo si mchezo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ aaaahh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom