Tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana

Kuna mkaka nilimkosaga hivi hivi .sasa hivi kaoa, najiuliza kama mimi nilikuwa nakereka kukaa nae tu meza moja mkewe anawezaje kulala nae? Nawaza wanabusiana kweli? Akiongea harufu inayotoka kha!

Yule dada alifata pesa.ila mimi bora nimkose siwezi vumilia ike harufu kisa ndoa kha!
 
Hahahahah mwenzio kamnunulia dawa ya mswaki huko😅 kajiongeza ww si ulimchamba?
 
Kuna mkaka nilimkosaga hivi hivi .sasa hivi kaoa, najiuliza kama mimi nilikuwa nakereka kukaa nae tu meza moja mkewe anawezaje kulala nae? Nawaza wanabusiana kweli? Akiongea harufu inayotoka kha!

Yule dada alifata pesa.ila mimi bora nimkose siwezi vumilia ike harufu kisa ndoa kha!
kumbe alikua na Pesa bas sawa.
 
Nasikia wenyejii wa mikoa inayolima ndizi kwa wingi ni kawaida kunuka midomo.

Na kingine nilichoshuhudia kuna baadhi ya mikoa mtoto anaanza kupiga mswaki akiwa shule ya msingi au sekondari
 
Dawa ya kunuka kikwapa .tafuta maganda ya limao yasage upate rojo laini kama mrenda vile.halafu unajipaka ktk kwapa inakuwa kama unavyojipaka hina vile.kabla ya kujipaka osha kwa maji yaa uvugu.jipake dawa hiyo kwa siku 3 tu kutwa mara 2
 
Dah hili tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana kwa Wanaume na wanawake Tatizo litakuwa ni nini Unashindwa kutoa Service kwa mtu kwa jinsi anavyonuka kama beberu hii hali inakera na inaboa sana.
Natural therapy... !!!??
 
Vyakula spicy.

Mtu tangu chai ina spices, mboga, nyama inawekwa spices kibao. Ukitoa jasho linakuwa na harufu.

Dehydration pia. Inabidi unywe maji kwa wingi sana maana hata mdomo mkavu hutoa harufu.

Ila solution kubwa ni maji kwa wingi, nje na ndani.
 
Endapo unahisi kunuka mdomo dawa Ni hiii,
1.Kila baada ya kuswaki chukua chumvi tia katika maji Kisha sukutua.

2.Sukutua maji ya muarobaini au piga mswaki wa muarobani shida itakwisha.

Ama kwa wale wanao nuka / kutoa harufu Kali au mbaya mwilini
1.Kogea Maji uliyoweka Alovera
2.Koga na ukoko wa ugali uliolowekwa usugue mwili/kwapa ikiwa ndio ogeo au sugulio la mwili
Hutakuja sikia hiyo shombo toka katika mwili wako
 
Dah hili tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana kwa Wanaume na wanawake Tatizo litakuwa ni nini Unashindwa kutoa Service kwa mtu kwa jinsi anavyonuka kama beberu hii hali inakera na inaboa sana.
Kwa kweli hii ni shida kwa wabongo, unakuta mwanamke mzuri lakini huko chini balaa, harufu utafikiri umepita dampo. Wengine midomo na makwapa ni ishu alafu analilia kuolewa au kukosa mwanamme. Pia kuna wanaume wan hii tabia na pengine wanaume ndiyo wanaongoza kwa kunuka hapa bongo.

Hivi majuzi tu Yanga iliifunga Simba, mashabiki wa Yanga walikaa wiki nzima bila kuoga wala kufua jezi zao kwa furaha tu...sasa fikiria mtu kavaa boxer wiki nzima, kaijambia weee then anapita mbele yako, au hajapiga mswaki wiki nzima eti anataka kukuambia story za wao kuifunga Simba wakati hauna any interest na habari zake:mad:
 
Endapo unahisi kunuka mdomo dawa Ni hiii,
1.Kila baada ya kuswaki chukua chumvi tia katika maji Kisha sukutua....
Mkuu mimi huwa ninatatizo moja ambalo huwa lianinyima amani pindi likitokea(Ni la msimu).

Kunawakati huwa natokwa na harufu kali sana maeneo ya kooni mpaka huwa naihisi kabisa kuwa ni harufu mbaya mnoo. Huwa najikakamua kama vile na kohoa ili kama kuna kitu kitoke lakin huwa inachukua muda..but sometimes huwa vinatoka vijipande vidogovidogo kama mabaki ya chakula vinanuuuuuukaaaaaa balaaa yani sijapata kuona.

Hii hali huwa inanitesa sana kwakweli.Naomba mwenye tiba ya hili tatizo anisaidie jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom