Tatizo la vichomi

Saulloson

Senior Member
May 25, 2012
103
35
Samahani sana kwa usumbufu ndugu zangu naomba msaada wenu kama nilivyoandika hapo juu mm nasumbuliwa sana na tatizo la vichomi sijui tatizo lake nn na dawa yake ni nn jamani msaada wenu tafadhari.
 
hutakiwi ukae na njaa kabisa, kila unaposikia njaa unatakiwa ule, utumbo wako unamichubuko iliyosababishwa nakuto kula, ndio inayoleta kichomi pole
 
Back
Top Bottom