Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,529
sawaNimeanza ufuatiliaji wa dawa hiyo kea waliopona, kila aliyeonyesha kuhitaji nitawasiliana naye
sawaNimeanza ufuatiliaji wa dawa hiyo kea waliopona, kila aliyeonyesha kuhitaji nitawasiliana naye
Hizo ni stress tu.Miaka 30
Nilifuata ushauri wako, mmoja nilimuunganisha na alihudumiwa but kuhusu kama imemsaidia au laa ni jukumu lake kusemashare nao waweza kuta umesaidia wengi kwa msaada wako sio lazima wafate lakini kuna kujaribu, na kujaribu kuna mawili kushinda na kushindwa hayo yote ni matokeo wewe wasaidie tu kwa nia thabiti itakayemsaidia jua umemsaidia isiemsaidia at least ulionesha moyo wa kusaidia
Nimefrah kuona umefanya nilishoshauri hakuna shida bora tu uneonesha moyo nimependaNilifuata ushauri wako, mmoja nilimuunganisha na alihudumiwa but kuhusu kama imemsaidia au laa ni jukumu lake kusema
Usilete utani kwenye issue ambazo unaona watu wapo serious, grow up acha ufala!!!Ngoja nivumbue dawa za nguvu za kiume nipige ela kama Babu wa loliondo lila kitu ni fursa.
Kuna dawa nilipewa mkuu na nlikuwa na tatizp kama lako uume kutosimama,kumbe n U.T.I sugu,hyo dawa nmesahau jina lake ila zinakuwa tembe kama sita iv,nlitumia ss iv jogoo ikifika saa kimi ma moja anajiwikia mwenyew wkt alikuwa keshagoma kabxaNishapima mara nyingi naishia kupewa Cipro, dox,azuma na nikapigwa sindano 4 za penaduu, nikachomwa power self ila tiba izo hazikufua dafu
Mtaalamu MziziMkavu si yupo humu Sheikh?Jaribu kwa Dr.Mwaka mkuu
mkuu we ni hazina inayotembea kiboko ya magonjwa mengi. Anza kugawa utaalamu wako kwa vijana chipukizi ili utakapo sign out basi ujuzi wako uendelee kuwanufaisha wataalamu wengine. Ni hayo tu.Ukiwa na matatizo ya mgongo na kiuno lazima uume wako hautafanya kazi vizuri kwani nguvu za uume zinatokana na mgongo na kiuno. Pole sana dawa zipo za kuweza kukutibia na ukaweza kupona maradhi yako.