Zitaje hizo dawa kwa hisani yako tafadhali.Ukiwa na matatizo ya mgongo na kiuno lazima uume wako hautafanya kazi vizuri kwani nguvu za uume zinatokana na mgongo na kiuno. Pole sana dawa zipo za kuweza kukutibia na ukaweza kupona maradhi yako.
Sema hapahapa mkuu na mimi nina hilo tatizo la kiuno huu mwaka wa tano sasa.Uje pm tutete mkuu
Unaiona wakati gani ndugu? Je Wakati wa kusoma katiba bendera inafuata upepo au inaishia nusu mlingoti? Au ndo umetepeta kabisa?Si naiona mkuu
Siwezi kuzitaja dawa zangu mtu akitaka nitamtibia apate kupona sio kuzitaja dawa zangu sio rahisi samahani.
Hamna tatizo mkuuSiwezi kuzitaja dawa zangu mtu akitaka nitamtibia apate kupona sio kuzitaja dawa zangu sio rahisi samahani.
Hilo ni chango la ngiri.Sema hapahapa mkuu na mimi nina hilo tatizo la kiuno huu mwaka wa tano sasa.
Dawa nilizotumia ni, chuku (cupping), massage kwa olive oil, ((ligaba (pregabalin capsules 75mg) + neuroton + osteocare (30days) down the line)).
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Inatibika vipi hiyo chango ya ngiriHilo ni chango la ngiri.
Jiangalie kama unasikia mlio mfani kama tumbo limejaa na huo mlio unatokea kiunoni mkuu
Dawa yake ni nini mkuu? Maana najihisi nina tatizo la gas iso ya kawaida na siioni sababu ya tumbo langu kujaa gas namna hii.Hilo ni chango la ngiri.
Jiangalie kama unasikia mlio mfani kama tumbo limejaa na huo mlio unatokea kiunoni mkuu
Ndugu wana jf mwenzenu Nina tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno ya mda mrefu sasa jumamos iliyopita nikashangaa uume hausimami gafla wakati sijawah kuwa na shida hiyo,je hospital linatibika masaada tafadhali
Dawa yake ni nini mkuu? Maana najihisi nina tatizo la gas iso ya kawaida na siioni sababu ya tumbo langu kujaa gas namna hii.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Inatibika vipi hiyo chango ya ngiri
Hilo ni chango la ngiri.
Jiangalie kama unasikia mlio mfani kama tumbo limejaa na huo mlio unatokea kiunoni mkuu
Hukumu ni kutokana na lile lililojificha moyoni mwako yaani nia yako, saidia viumbe wenzako na muumba atakusaidia, ama kuitwa tapeli na yanayofanana na hayo hiyo na kawaida yetu bin adam songa mbele usikwazwe na maneno yetu, chukua mfano mmoja wetu kaumwa kafanya vipimo hosp kubwa yenye sifa na utendaji mzri na dawa za maana kapewa na mwisho wa yote hakupona, lakini wengine wanapona! Sasa kwa kutokupona yeye tuseme hawa madaktari ni matapeli! hapana.Baada ya post yangu kuhusu dalili za tatizo la ngiri, nimepokea pm nyingi.
NAOMBA NISEME YAFUATAYO;
1. Mimi sio daktari wala mganga wa tiba asilia...
Heri wewe una ufahamu huo.Hukumu ni kutokana na lile lililojificha moyoni mwako yaani nia yako, saidia viumbe wenzako na muumba atakusaidia, ama kuitwa tapeli na yanayofanana na hayo hiyo na kawaida yetu bin adam songa mbele usikwazwe na maneno yetu, chukua mfano mmoja wetu kaumwa kafanya vipimo hosp kubwa yenye sifa na utendaji mzri na dawa za maana kapewa na mwisho wa yote hakupona, lakini wengine wanapona! Sasa kwa kutokupona yeye tuseme hawa madaktari ni matapeli! hapana.
Toa elimu hapaUje pm tutete mkuu
Nimetoa maelezo hapo juu mkuuToa elimu hapa
[emoji116]Toa elimu hapa
share nao waweza kuta umesaidia wengi kwa msaada wako sio lazima wafate lakini kuna kujaribu, na kujaribu kuna mawili kushinda na kushindwa hayo yote ni matokeo wewe wasaidie tu kwa nia thabiti itakayemsaidia jua umemsaidia isiemsaidia at least ulionesha moyo wa kusaidia[emoji116]
Nimeanza ufuatiliaji wa dawa hiyo kwa waliopona, kila aliyeonyesha kuhitaji nitawasiliana nayeshare nao waweza kuta umesaidia wengi kwa msaada wako sio lazima wafate lakini kuna kujaribu, na kujaribu kuna mawili kushinda na kushindwa hayo yote ni matokeo wewe wasaidie tu kwa nia thabiti itakayemsaidia jua umemsaidia isiemsaidia at least ulionesha moyo wa kusaidia