Tatizo la uume kutokusimama

Ndugu wana jf mwenzenu Nina tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno ya mda mrefu sasa jumamos iliyopita nikashangaa uume hausimami gafla wakati sijawah kuwa na shida hiyo,je hospital linatibika masaada tafadhali
Ukiwa na matatizo ya mgongo na kiuno lazima uume wako hautafanya kazi vizuri kwani nguvu za uume zinatokana na mgongo na kiuno. Pole sana dawa zipo za kuweza kukutibia na ukaweza kupona maradhi yako.
 
Zipi izo
 
Ndugu wana jf mwenzenu Nina tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno ya mda mrefu sasa jumamos iliyopita nikashangaa uume hausimami gafla wakati sijawah kuwa na shida hiyo,je hospital linatibika masaada tafadhali
Umri wako?
Una tumia vilevi?
Ushawahi kutibu mgongo na kiuno?
Kuhusu uume kutokusimama cheki blood glucose, pressure,na hormone ya testosterone
 
Miaka 30,Sinywi pombe,nimepewa antpain mara nyingi lakin bado,na vp hivo vipimo mpaka nije dar au huku mtwara vinapatikana?
 
Back
Top Bottom